Ni kina nani hao? Tusaidiane ili tusije juta uchaguzi ukifika..

mageuzi1992

JF-Expert Member
Apr 9, 2010
2,503
252
Hivi karibuni kumekuwepo na kauli za Busara za kuwaasa watanzania kuhusu watu wanao sadikika kuwa si wema tena ya kuwa wanasaidiwa na wauza unga na marafiki mafisadi kutaka kwenda ikulu. Kauli hizi zimetoka kwa wazee wetu wastahiki kabisa Mh Samuel Sita na Mh Fredirick Sumaye. Mausia yao si ya kuyaacha na kuyazarau hivi hivi! kuna msemo unasema asiyesikia la mkuuu.....................? Basi hebu tufanye utafiti ya hao watu tujuzane. Ili siku ya siku tusijekujilaumu tutakavyofanya maamuzi ya kuchagua watu muhimu. Mimi kwa kweli nimeachwa njia panda naombeni msaada. JE NI KINA NANI HAWA wanaoongelewa na Sita na Sumaye..?
 
Back
Top Bottom