Ni kilimanjaro music awards au dar es salaam music awards.?

Dogo janja hajaweka makazi dar., anasoma na mara nyingi likizo zake zote hurudi nyumbani., huwezi kumuweka dogo janja kwenye kundi la wakazi wa dar.., kuhusu umri hapo nimekuelewa kaka although sitambui vizuri umri wake sahihi

Ninachojua hajazidi 18, ndo kwanza yupo form two!
 
Ninachojua hajazidi 18, ndo kwanza yupo form two!
Anaweza akawa hajafika kweli., ila kwa hao wengine jamani haiko fair., kwani kuna shida gani kumnominate mtu.? Mwisho wa siku mshindi si mmoja.? Wawape chance watu washindwe wenyewe kwa kukosa kura., kuwabania inawaathiri wanamuziki wa nje ya dar kisaikolojia kwa kufanya waamini hawawezi wakati wanaweza pia
 
FYI
Dar ndio Tanzania ndio maana mawaziri wanagoma kuhamia Dodoma
 
Hizi tuzo waandaji ni bomu kweli,kuna wasanii kama AY,Lady Jay Dee hawa hata wasipotoa nyimbo kila mwaka lazima wawe nominee.AY alishindanishwa kwenye Ragga akashinda na wamemweka tena mwaka huu inajulikana kuwa AY haimbi Ragga.Nashangaa kukosekana kwa wasanii kama Niki Mbishi,Stereo na One Incredible na Producer wao Duke hawapo wakati walifanya vizuri mwaka jana.Hivi msanii wa Hip Hop kama FID Q ,je hawezi kuwekwa kwenye tuzo ya mwandishi bora bali wasanii kama Diamond na Barnaba eti watunzi bora
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom