Ni kichwa gani cha kwenye gazeti kilikukwaza mpaka leo hutaki kukiona? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kichwa gani cha kwenye gazeti kilikukwaza mpaka leo hutaki kukiona?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ta Kamugisha, Jan 10, 2012.

 1. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Ndugu zangu hakuna siku niliyoboreka na kichwa cha habari cha gazeti la mzalendo enzi zile likiwa ni gazeti kikiwa kinasomeka hivi " yanga mbende mbende kwa sigara" siku iyo ilikuwa jumapili ndo nimetoka kanisani na nimenunua magazeti ya mzee, mpaka sasa hakijanitoka kichwani. yanga tulichapwa 3 - 0 na sigara. kama sijakosea ulikuwa mwaka 1994. ebu nawe tupe kichwa cha habari cha gazeti kilichokukela na kinachokukela mpaka sasa.
   
 2. Mnwele

  Mnwele Senior Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Front page ya Mtanzania tukielekea kwenye uchaguz mkuu mwaka juzi.

  'Tunamuunga Mkono JK'! Ilinichefua hadi leo na nashangaa wameanza kumchoka!
   
 3. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ni kichwa gani cha kwenye gazeti kilikukwaza mpaka leo hutaki kukiona?

  Hii heading haijatulia
   
 4. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hakikuwa yanga mbede mbede kwa sigara. Kilisomeka hivi; 'Yanga mbende mbende kwa Sigara'
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  SiWajuhi dowans-JK
   
 6. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Mimi kichwa cha leo uhuru.
  Habari za kiitelegensia za mukama wabunge wawili kufukuzwa chadema.
  Hili gazeti toka limeanzishwa mwaka 61 halijawahi kuandikahabari za uchunguzi,linapotea njia kwa kufanya kazi mbayo halijawahi kulifanya,ukiona babu anataka kucheza soka uzeeni wakati hajawahi kuugusa mpira maishani mwake ujue msiba u karibu.

  R.i.p uhuru.
   
 7. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Duh! sikukiona hicho, au nilikuwa sijajua kusoma.
   
 8. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  likifa si ndo na uhuru wetu umekufa? ahaa lisife wengine tutakosa magazeti ya kusoma!
   
 9. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Mkubwa wa kaya alijisahau jamani, walikuwa hawajamtembelea ikulu
   
 10. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kuna kigazeti uchwara kimoja kinaitwa jambo leo... Nadhani kipo sponsored na kundi fulani (bado nalifanyia utafiti) Last week kiliandika "PENGO ACHA POROJO JIBU TUHUMA ZA DAWA ZA KULEVYA" (Yawezekana panawa na kukinzana kidogo kwa maneno lakini ujumbe wa muhimu ni huo. Nilisikia kwenye Radio actually (uchambuzi wa magazeti) maana siwezi kupioteza hela yangu kununua vijarida vinavyofadhiliwa kwa minaajili ya watu fulani fulani....... Fuatilia taarifa za hiki kigazeti uchwara "Jambo Leo" utaniambia.
   
 11. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  kaka nashukuru kwa marekebisho, c unajua sisi watu wa bara a.k.a watu wa kuja!
   
 12. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Mh! labda ilo gazeti ni la mipasho.
   
 13. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  kwanini haijatulia mkuu? ebu nirekebishe basi
   
 14. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #14
  Jan 10, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Alitaka uandike hivi; Ni kichwa gani cha habari kilikukwaza kwenye gazeti mpaka leo hutaki kukiona?
   
Loading...