Ni kiasi gani cha pesa ukikipata unaweza kusema umetoboa kimaisha?

Ukiaongelea kutoboa kimaisha unamaanisha kufanikiwa "kuwin" maisha?

Sidhani kama hata ukipewa million 100 utakuwa umeyawin maisha. Kuwin maisha hapategemei hela ingekuwa ni hivyo wanaopiga bingo za jackpot nk wangekuwa hawasumbuki na maisha tena.

Ili kuwin maisha unahitaji investments ambazo zimeweza kujisimamia zenyewe na sio hela.
 
Ata izo investiment zinaitaji pesa pia
Nilikuwa nasubiria hili jibu.
Unaelewa lakini nikisema investment ambazo tayari zinajisimamia zenyewe?

Hiyo million 10 ukiingiza kwenye investment una uhakika gani itafanya vizuri na hiyo miradi yako isimame imara kiasi kwamba unaweza kuona maisha umeyapatia?.

Point yangu ni ukibahatika kupata hela usijihakikishie umeshayapatia maisha. Iwekeze na ukishakuwa na miradi imara ambayo inakuingizia hela hapo ndio itakuwa umeshayapatia maisha.
 
Hamna hela inayoridhisha, hata wakina bilgets wana mihela balaa ila wanazisaka kama hawajazipata vile, no matter una pesa kiasi gani to be happy is what matters
 
Ukiaongelea kutoboa kimaisha unamaanisha kufanikiwa "kuwin" maisha?

Sidhani kama hata ukipewa million 100 utakuwa umeyawin maisha. Kuwin maisha hapategemei hela ingekuwa ni hivyo wanaopiga bingo za jackpot nk wangekuwa hawasumbuki na maisha tena.

Ili kuwin maisha unahitaji investments ambazo zimeweza kujisimamia zenyewe na sio hela.

Naunga mkono hoja
Kupata hela nyingi sio kutoka kimaisha
Hoja yako imenikumbusha huyu jamaa aliepata jackpot na akaimailiza kwa kufumba na kufumbua macho
IMG_1398.jpg
IMG_1399.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom