Ni kheri arudi urais Benjamin Mkapa kuliko uongozi wa Jakaya Kikwete: What does that tell us?

Kikwete wala hafai kabisa kuwa rais wa hii nchi. Mvivu wa mawazo, kiburi, hapendi ushauri...angekuwa rais shupavu wauza sembe wote pamoja na viongozi feki wote hapa nchini angewashikisha adabu na kutokomeza ujinga uliokithiri kila idara na sekta hapa nchini.

Ndio keshakuja ngosha sasa, lakini wavivu wa kufikiri wamemkumbuka
 
Ndio keshakuja ngosha sasa, lakini wavivu wa kufikiri wamemkumbuka

Mwinyi, Mkapa, Kikwete....hawa wote ni sumu ya taifa letu......we fikiria miaka 30 yote hiyo wangeweka mikakati kama haya ya Ngosha, Tanzania ingekuwa wapi leo hii? Nasema, watafutwe hawa watu na wafikishwe mahakani kwa kuididimiza Tanzania kiuchumi.
 
tatizo si MARAISI tatizo ni chain ya CCM hata akipita magufuri na mwakyembe ambao labda jamii inajaribu kutupia imani zao lakini amini nakuambia mambo yatakuwa hayahaya tena nadhani yatazidi sababu yanaendelea kukomaaa.
Vipi Bado yanaendelea kukomaa??
 
Me naona imefikia mahali 2kubaliane kwa pamoja kuwa serikali iliyopo madarakan imeshindwa kutekeleza majukum yake, coz inapofikia mahal ukaona ktk uongoz wako migomo ya mara kwa mara haish bac kimsingi ujue umeshindwa kutekeleza majukum yako! Leo hii mpaka watoto wa shule ya msing wanagoma wanalala barabaran eti ha2ondoki mpaka kieleweke..ths iz too much bhana, jiulize mtoto huyu lin amejua maana ya mgomo? 2mefikia pabaya rais anashidwa kutoa maamuz magum, hii nikumaanisha kuwa hafai kuwa kiongoz kwan hata kama unawapenda vp hao mafisad bt as tym goes on u hve 2 do something 4 ur nation! Kumbuka hata Mungu ali2penda sana bt ilifika mahal ilibid atoe maamuz magum kama ilivyotokea ktk kizaz cha NUHU as wel as SODOMA NA GOMORA!

Demokrasia ile iliyokuwa Imetamalaki mpaka Vitoto bya chekechea kuandamana mkatafsiri ni udhaifu badala ya ujasiri wa Mtawala kukubali kukosolewa!

Magu kanyagia mpaka Mwisho Na ukichoka weka jiwe kwenye Accelerator Na Breki ng'oa kabisa anaetaka kushuka aruke
 
Mkapa ndiye aliyetupachikia Kikwete. Alikuwa na nafasi ya kutupatia kiongozi mwenye ruuya lakini baada ya kutumbukia kwenye limbwi la ufisadi akawa compromised na Rostum na matokeo yake ndiyo haya tunayojutia hivi leo. He really let the country down.
Na JK ndiye aliyetupachikia JPM.
 
Watanzania 90% Ni Wapumbavu Na Malofa(in Mkapa Voice) Narudia Tena Watanzania Ni Wapumbavu Na Malofa
 
Kikwete wala hafai kabisa kuwa rais wa hii nchi. Mvivu wa mawazo, kiburi, hapendi ushauri...angekuwa rais shupavu wauza sembe wote pamoja na viongozi feki wote hapa nchini angewashikisha adabu na kutokomeza ujinga uliokithiri kila idara na sekta hapa nchini.
Vp bwana mkubwa@ Jamaa_Mbishi bado upo
 
Kikwete wala hafai kabisa kuwa rais wa hii nchi. Mvivu wa mawazo, kiburi, hapendi ushauri...angekuwa rais shupavu wauza sembe wote pamoja na viongozi feki wote hapa nchini angewashikisha adabu na kutokomeza ujinga uliokithiri kila idara na sekta hapa nchini.
Naona umesikilizwa maoni yako.
Ameshapatikana anaefanyia kazi ushauri wako.
CC: Pascal Mayalla Nyani Ngabu The Boss The Undertaker
 
Back
Top Bottom