Ni kawaida binti wa miaka 13 kuvunja ungo?

KateMiddleton

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
1,334
2,000
Mkuu mzigo wa kulea mtoto kwa maadili wanatupiwa boarding school..?
Hamna sehemu nzuri ya utulivu kwa mtoto kujiendeleza kielimu kama boarding
Hasa Sekondari...
Maadili primary na likizo utafundisha...

huwezi lea mtoto peke yako
 
libeva

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
3,409
2,000
Habarini!

Huu ni mwaka wa 13 wa kuzaliwa binti yangu na yupo darasa la sita sasa.

Jana mama yake ananivujishia siri kuwa mtoto amekuwa (amevunja ungo).

Wadau, ni kawaida kwa binti wa miaka 13 kuvunja ungo au hii ni abnormality?!! Nilitarajia kuanzia 15 huko na kuendelea.

Uzoefu wenu tafadhali....
Pia kuwa nae karibu anaweza daka mimba kwa umri huo
 
makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
17,156
2,000
Naziona shikamoo mzee kwa wiingi ndugu yangu.. Mie goli langu ndio kwanza katimiza miaka 8
 
polokwane

JF-Expert Member
Dec 16, 2018
1,528
2,000
Habarini!

Huu ni mwaka wa 13 wa kuzaliwa binti yangu na yupo darasa la sita sasa.

Jana mama yake ananivujishia siri kuwa mtoto amekuwa (amevunja ungo).

Wadau, ni kawaida kwa binti wa miaka 13 kuvunja ungo au hii ni abnormality?!! Nilitarajia kuanzia 15 huko na kuendelea.

Uzoefu wenu tafadhali....
Kuvunja ungo ni ligha tu ya kujaribu kuficha lakini usahihi ni kwamba mtoto ameianza menstruation kwa sasa huyo si mtoto tena bali ni mwanamke kama wanawake wengine maana kuanzia hapo anasifa za kuwa mama.
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
17,951
2,000
Mwanaume mumbeya wewe hata mkeo hana akili vitu vya bintiye kumwambia baba haipendezi maana hicho huwa ni kipindi cha tofauti kiakili na mawazo loh
 
NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
1,410
2,000
Mwanaume mumbeya wewe hata mkeo hana akili vitu vya bintiye kumwambia baba haipendezi maana hicho huwa ni kipindi cha tofauti kiakili na mawazo loh
kama sikosei haya mambo ya kutofichana chochote katika malezi yanayohusisha ukuaji na mabadiliko yake kwa watoto ndilo jambo linalopigiwa kelele sasa......kwamba wazazi (me na ke) mkae na kuwaeleza wazi watoto wenu (me na ke) kuhusu mabadiliko hayo na athari zake. sasa umbea wangu ni nini hapo mwanaJF wewe?!!!
 
NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
1,410
2,000
Kuvunja ungo ni ligha tu ya kujaribu kuficha lakini usahihi ni kwamba mtoto ameianza menstruation kwa sasa huyo si mtoto tena bali ni mwanamke kama wanawake wengine maana kuanzia hapo anasifa za kuwa mama.
kweli kabisa!
 
BLACKTYGA

Senior Member
Nov 24, 2016
100
225
Ni kawaida kabisa hata miaka 9 anaweza vunja ungo pia, vyakula vinaweza kuwa sababu pia yakuwahi maana vingi pia vina pigwa booster/vichochezi ilivikue haraka. Chemical hizo mtu anaweza kuvila na vakaleta uchochezi wa hormones vikaleta hii hali. Udhibitisho
imageks.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom