Ni kasheshe, ni balaa, ni kazeze ni ujinga

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,885
4,009
Hivi kwa nini vitu vya serikali ya Tz huwa vya hovyohovyo?Tbc tv na radio hovyoo,timu ya mpira ya serikali iitwayo taifa stars nayo hovyoo kabisaa na hili gazeti nalo.pumbavu,yani huyu chief editor ni hovyo kabisa au katuona sisi mabashite?eti alitaka kumaanisha ndama mutoto ya ng'ombe,mnatuchoresha bana ndo maana wengine jana ikulu wakatoa press release tofauti na walichoongea wazungu wa watu.
ndama.jpg
 
Hahaha who did this?Is She/He still in office?This is the shame for editors.
 
Ndo mambo yetu yaleee; Kiswahili kitumike kufundishia chuo kikuu. Hayo ndo makinikia yenyewe. Win win situation maana yake ni kuwa. Tz tume wini wini na mzungu kasema yupo tiyari kutulipa si nusu bali zile ngawira zoote tulizoandika kuwa katuibia. Son of Cow!!!! God forbid!
 
nilipoona hili gazet asbh nimecheka sana ila baadae nikasikitika,
 
Hivi kwa nini vitu vya serikali ya Tz huwa vya hovyohovyo?Tbc tv na radio hovyoo,timu ya mpira ya serikali iitwayo taifa stars nayo hovyoo kabisaa na hili gazeti nalo.pumbavu,yani huyu chief editor ni hovyo kabisa au katuona sisi mabashite?eti alitaka kumaanisha ndama mutoto ya ng'ombe,mnatuchoresha bana ndo maana wengine jana ikulu wakatoa press release tofauti na walichoongea wazungu wa watu.
View attachment 524621
Umenena mkuu,mambo mengi ya serikali ni ya ajabu ajabu kweli...uwezo wa watendaji wengi ni mdogo sana nadhani ni kutokana na kuingia katika mfumo kwa kupitia migongo ya watu na si uwezo..
 
mhhh kumbe makanjanja wapo wengi nimecheka sana duuuh son of a cow what a shame!!
 
Binafsi sijaona kichekesho zaidi ya tafakari, sijui hiyo tasnia inakwenda wapi maana si udaku sio habari maalumu wote hovyo hovyo
 
Hivi kwa nini vitu vya serikali ya Tz huwa vya hovyohovyo?Tbc tv na radio hovyoo,timu ya mpira ya serikali iitwayo taifa stars nayo hovyoo kabisaa na hili gazeti nalo.pumbavu,yani huyu chief editor ni hovyo kabisa au katuona sisi mabashite?eti alitaka kumaanisha ndama mutoto ya ng'ombe,mnatuchoresha bana ndo maana wengine jana ikulu wakatoa press release tofauti na walichoongea wazungu wa watu.
View attachment 524621
kakosea;umekuja na porojo badala ya kujib na ww
 
Mbona jina la Mkuu wa kaya huwa haliandikwi kwa KIINGILISHI/KIINGELEDHA...!?

Hawatutendei haki Wasomaji...
 
Acha kujitamkia mambo mabaya, maana midomo inaumba, usitamkie kizazi chako, wala nchi yako wala AFRICA yako, wala rangi yako mambo maovu!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom