ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,010
Hivi kwa nini vitu vya serikali ya Tz huwa vya hovyohovyo?Tbc tv na radio hovyoo,timu ya mpira ya serikali iitwayo taifa stars nayo hovyoo kabisaa na hili gazeti nalo.pumbavu,yani huyu chief editor ni hovyo kabisa au katuona sisi mabashite?eti alitaka kumaanisha ndama mutoto ya ng'ombe,mnatuchoresha bana ndo maana wengine jana ikulu wakatoa press release tofauti na walichoongea wazungu wa watu.