Ni karibu na/au ndo SODOMA na GOMORA yenyewe?: Kizazi hiki kimeshachoka

...TAZAMA UKU...Mume anamla mke makalio

...TAZAMA KULE...Baba anamtafuna bintie wa kumzaa

...NJOO UKU...Wanaume wanaoana ...Wanawake wanatafunana

...NENDA KULE...Mapadre/Masheikh wanalawiti watoto na vijana

...SIMAMA HAPA...Ufisadi kila kona ya nchi... Maskini wananyanyaswa na matajiri wachache

... SHANGAA HILI... Hakuna tena maadili kuanzia kuongea mpaka kuvaa... Hakuna tofauti ya mwanaume na mwanamke

...HATA HILI PIA LIPO... Maradhi yenye majina na yasiyokuwa na majina yamejaa... Vifo ni kila kukicha

... CHA AJABU... Binadamu hatushtuki... Ndio kwanza tunakaza buti kuiendea laana

...HUKUMU YETU NI IPI... Gharika au moto?
... TUNASTAHILI ZOTE...

Na kama walivyokataa kuwa na
Mungu katika fahamu zao,
Mungu aliwaacha wafuate akili
zao zisizofaa, wayafanye
yasiyowapasa.
Warumi 1:28.
KWA MAANA HIYO;,,,
Mwenye kudhulumu na azidi
kudhulumu; na mwenye uchafu
na azidi kuwa mchafu; na
mwenye haki na azidi kufanya
haki; na mtakatifu na azidi
kutakaswa. (Soma Ufunuo wa
Yohana 22:11)
 
Mkuu heri ya mwaka mpya aise
We unataka photo za hayo mambo upeleke wapi
Kwani kila siku si unayaona huko mtaani na kwenye vyombo vya habari

kama anataka mapicha aende maisha matamu lakini mafupi.blogspot.com sio hapa kwa wanajamii.
hayahaya jamaa analalamika hapa wengine wanataka mapicha ili kuweza kuendeleza libeneke
 
Neema inapozidi binadamu hujisahau na kufanya mambo wanayojisikia,lakini dawa ya yote haya ipo yaja cha msingi ni mimi na wewe kujiweka katika hali ya usafi kiroho mpaka wakati huo ili kuepuka adhabu ijayo.
 
Neema inapozidi binadamu hujisahau na kufanya mambo wanayojisikia,lakini dawa ya yote haya ipo yaja cha msingi ni mimi na wewe kujiweka katika hali ya usafi kiroho mpaka wakati huo ili kuepuka adhabu..ni kweli kabisa.
 
Duh.. nimefngua uzi haraka nikijua ni pilau.. na maphoto ya uchi teh teh.!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom