asante ,
ila ningependa tu kusema kichwa cha thread "kizazi hiki"......................
yalikuwepo hata kizazi cha kale.. weeked njema..
AD heri ya mwaka mpya bana
Tusipitane kama hatuonani
asante ,
ila ningependa tu kusema kichwa cha thread "kizazi hiki"......................
yalikuwepo hata kizazi cha kale.. weeked njema..
yaani we acha tu ndivyo ilivyo..
Ukisogea kushoto ccm inatumalizia yaani.... Sipati picha
inaelekea wewe ni mtendaji sana wa hayo mambo maovu. Yanavyokemewa unahisi kupoteza wafuasi. Haijalishi yako toka kizazi cha kale au la?asante ,
ila ningependa tu kusema kichwa cha thread "kizazi hiki"......................
yalikuwepo hata kizazi cha kale.. weekend njema..
asante ,
ila ningependa tu kusema kichwa cha thread "kizazi hiki"......................
yalikuwepo hata kizazi cha kale.. weekend njema..
inaelekea wewe ni mtendaji sana wa hayo mambo maovu. Yanavyokemewa unahisi kupoteza wafuasi. Haijalishi yako toka kizazi cha kale au la?
Nia ya mleta thread nadhani haikuwa kuandika historia ya hayo maovu, bali hali halisi ya jamii yetu: kwamba hali ni mbaya sana. Kwa maneno mengine kuna haja ya kuchukua hatua, vinginevo huko tuendako si kuzuri ukitilia maanani utandawazi. Mambo machafu yanaenea kwa spidi kali zaidi kuliko miaka ya huko nyuma.
Kujifanya mtakatifu kwa nani, ili iweje? Kama wewe unajifanya mtakatifu kwakuwa hatufahamiani, pole sana. Tengeneza njia yakoni rahisi kila mtu kujifanya mtakatifu hapa sababu hatujuani..
na we hujui chochote kuhusu mimi ... umeshindwa kujibu swali langu
sasa unajaribu kutabiri nilivyo .... Pole
My God! Wewe wa imani gani? Gharika na moto sio vitisho kutoka kwangu! Ebu rudia misingi ya imani yako! Inaonekana unapambana huku JF kuongeza idadi ya post lakini umesahau maisha yako ya kiimani yakiparanganyikaangeandika hiyo jinsi ya kuchukua hatu ningemwelewa zaidi..
kuliko mambo/ vitisho vya gharika au moto.... haya saiidii kusema hayo
Kujifanya mtakatifu kwa nani, ili iweje? Kama wewe unajifanya mtakatifu kwakuwa hatufahamiani, pole sana. Tengeneza njia yako
My God! Wewe wa imani gani? Gharika na moto sio vitisho kutoka kwangu! Ebu rudia misingi ya imani yako! Inaonekana unapambana huku JF kuongeza idadi ya post lakini umesahau maisha yako ya kiimani yakiparanganyika
Wewe ni msalaba mzito sana, sijui ueleweshwe kwa mbinu gani! Kuambiwa tengeneza njia yako haina maana kuwa njia yako inanihusu! Lol! Kweli ualimu ni kazi ngumu.hahahahah lol
unavichekesho kwa kweli hii thread ya nani?
Haueleweki mkuu.. njia yangu inakuhusu nini ...??
angalia yako mkuu..
Wewe ni msalaba mzito sana, sijui ueleweshwe kwa mbinu gani! Kuambiwa tengeneza njia yako haina maana kuwa njia yako inanihusu! Lol! Kweli ualimu ni kazi ngumu.
imani yangu nimejitengenezea mwenyewe
msingi wangu ni "upendo" na wewe umeiga imani ya nani?
hahahah hujui kila unapo nijibu na we unaongeza idadi ya poster .. pole mkuu..
majibu na kauli za sikio la kufa ndio hizi!mwalimu ??? hahahahah kazi ipo...
umesema nitengeneze njia yangu.. which means njia yangu inamatatizo fulani..
ndo nikakuuliza njia yangu inakuhusu nini ? ikiwa mbaya au nzuri nini kinachokusumbua
mpaka uniambie niitengeneze....
angalia yako mwenyewe..
achana na kuwaambia watu nini cha kufanya na njia zao..
Nakuruhusu ukalale ukue.
nani analala saa kumi mchana..?? bado niko barazani..