Ni kampuni/toleo gani la simu ni nzuri kwa badget ya 300k?

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,701
9,934
Nahitaji simu angalau yenye unafuu kwa ajili ya dogo. Badget ni kama inavyosomeka hapo juu.
 
Xiaomi redmi 9 32gb version 280,000 na 64GB 300,000 tigoshop, hakuna simu yoyote mpya duniani itakayokupa value kama hio.

Usisahau na GB za bure 6 kila mwezi kwa mwaka na dakika na sms.
Asante sana mkuu, nakukubali sana kwenye maswala haya.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom