NI kampuni ipi nzuri kununua bidhaa mtandaoni.

marcs

JF-Expert Member
Nov 2, 2016
1,067
570
wakuu niambieni ni ipi kampuni ambayo unaweza kuagiza bidha kutoka nje ya nchi na ukaipata bila rongo rongo na kwa bei nzuri
 
Tatizo mzigo ukifika Bongo wahuni wengi. Posta nao wamekua wezi.
 
Mzigo kutoka nje sio shida, tatizo linaanza mzigo ukishafika Tz hasa posta. Utashangaa ukimya kama wote.
 
Back
Top Bottom