Ni kampuni gani inayotoa fursa za ajira ambayo inafaa kujiunga hapa nchini?

Kipenseli

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
800
1,050
Habari zenu wakuu?

Bila kupoteza muda naomba niende kwenye hoja yangu ya msingi

Binafsi Nimesikia kampuni nyingi sana ambazo zinatoa fursa za ajira hapa nchini na nyingi zikiwa zimeasisiwa nje ya nchi
Mfano kuna ALLIANCE IN MOTION GROUPATERNAL HOSPITAL E.T.C

Sasa Swali Langu kwa wana JF ni Kampuni gani ambayo kiukweli inatoa fursa thabiti za ajira ukiachana na hizo nilizozitaja hapo juu ...kwa maana nahitaji kujiunga na hizo kampuni ila nahitaji ushuhuda na ushauri kutoka kwenu wakuu
 
Back
Top Bottom