Ni Kama machozi ya samaki ndani ya maji.

ShalomP

Member
Jun 14, 2019
97
154
Niliposikia majina ya ajira mpya za walimu yametangazwa leo nikajipa moyo labda na Mimi jina langu limo.Taratibu nikaanza kutazama kwenye simu sikuamini nikahisi ndoto,Jina langu sijaliona kabisa nikajipa moyo au orodha ya majina hi ni fake lakini ukweli ukabaki palepale ni majina original.Machozi yakanilenga nikalia kwa hisia nikahisi kukosa tumaini na nguvu kupungua nikaanza kutafakari maswali mengi Sana.
Nimejitolea kufundisha takribani miaka mitano Leo hii naachwa?!,Nimekuwa mzalendo kwa nchi yangu mtoto wa mnyonge Mimi!.Majina ya walimu wazalendo wanaojitolea shule za serikali ina maana hayakwenda TAMISEMI? mbona tulituma majina nahisi Kama utani je,nitaendelea kuwa volunteer Tena au nifanye Mambo yangu.Nimekuwa volunteer kwa muda mrefu nitaificha wapi aibu yangu.Tulitiwa moyo tuendelee Kujitolea tutakumbukwa daaaah kwa kweli nimechoshwa na mwendo.Wanafunzi niliowafundisha watanifikiriaje? Nilitamani kuwa mwalimu lakini bahati haikuwa yangu,msinicheke ndugu zangu Kujitolea nastafu kuanzia Leo nipokeeni mtaani nifundisheni plan B.Wote tuliokosa tusikate tamaa Wala Tusinung'unike tushukuru kwa yote maisha lazima yaendelee. Kama umeguswa unaweza kutoa pole na kutupa maneno ya kututia moyo kwa wale wote tuliokosa na ushauri jinsi gani tupambane mtaani ili kulisongesha gurudumu la maisha.Ni maombi yangu Tukumbukwe tuliokuwa tunajitolea tutaficha wapi sura zetu maana tayari tumeshaanza kutukunwa na kuonekana wajinga tulioenda kupoteza muda na mwisho wa siku tumetemwa Kama bigijii(Banzoka).
-Toa ushauri wenye mtazamo chanya wa kutujenga vijana sio kejeri,matusi na siasa Tunaitaji ushauri wako.
By Mr Volunteer mwenye huruma nisiye na bahati.nilitoka kwenye familia ya walalahoi,YAHWEH tutie nguvu vijana wote tuliokata tamaaaa kwa Kila mtu na mapito yake.Ameni
 
pole sana kaka...inshaAllah mambo yatakaa sawa...Mungu akutangulie..amiin!!
 
Ungelima nyanya au ungefuga kuku ungekua mbali ,Ila bado unachelewa Anza sasa
 
Maybe we should underpaid politicians and overpaid teachers, then they would be smarter people and less stupid laws...🤗
 
Pole kijana!! Usiumie saana!! Umepata uzoefu wa kazi. Tulia jipe moyo, songa mbele!! Tafuta ushauri ni nini unaweza kufanya kwenye mazingira ulipo. Utatoka tuu!!
 
Asante kwa ushauri wako
 
ni upuuzi kung'ang'ania kazi moja ya kufanya kwa kuwa uliisomea wakati kuna kazi nyingi za kufanya maishani
 
Niliposikia majina ya ajira mpya za walimu yametangazwa leo nikajipa moyo labda na Mimi jina langu limo.Taratibu nikaanza kutazama kwenye simu sikuamini nikahisi ndoto,Jina langu sijaliona kabisa nikajipa moyo au orodha ya majina hi ni fake lakini ukweli ukabaki palepale ni majina original.Machozi yakanilenga nikalia kwa hisia nikahisi kukosa tumaini na nguvu kupungua nikaanza kutafakari maswali mengi Sana.
Nimejitolea kufundisha takribani miaka mitano Leo hii naachwa?!,Nimekuwa mzalendo kwa nchi yangu mtoto wa mnyonge Mimi!.Majina ya walimu wazalendo wanaojitolea shule za serikali ina maana hayakwenda TAMISEMI? mbona tulituma majina nahisi Kama utani je,nitaendelea kuwa volunteer Tena au nifanye Mambo yangu.Nimekuwa volunteer kwa muda mrefu nitaificha wapi aibu yangu.Tulitiwa moyo tuendelee Kujitolea tutakumbukwa daaaah kwa kweli nimechoshwa na mwendo.Wanafunzi niliowafundisha watanifikiriaje? Nilitamani kuwa mwalimu lakini bahati haikuwa yangu,msinicheke ndugu zangu Kujitolea nastafu kuanzia Leo nipokeeni mtaani nifundisheni plan B.Wote tuliokosa tusikate tamaa Wala Tusinung'unike tushukuru kwa yote maisha lazima yaendelee. Kama umeguswa unaweza kutoa pole na kutupa maneno ya kututia moyo kwa wale wote tuliokosa na ushauri jinsi gani tupambane mtaani ili kulisongesha gurudumu la maisha.Ni maombi yangu Tukumbukwe tuliokuwa tunajitolea tutaficha wapi sura zetu maana tayari tumeshaanza kutukunwa na kuonekana wajinga tulioenda kupoteza muda na mwisho wa siku tumetemwa Kama bigijii(Banzoka).
-Toa ushauri wenye mtazamo chanya wa kutujenga vijana sio kejeri,matusi na siasa Tunaitaji ushauri wako.
By Mr Volunteer mwenye huruma nisiye na bahati.nilitoka kwenye familia ya walalahoi,YAHWEH tutie nguvu vijana wote tuliokata tamaaaa kwa Kila mtu na mapito yake.Ameni
CCM ni Chanzo Cha Matatizo yote nchini.
 
Tatizo awamu kila kitu feki,, mtaani kwenyewe huko ni kugumu balaa, Kama ndiyo hata hakuna hata ndugu yako yupo serikalini basi ujue kwaheri maisha yatakuwa magumu tuu
 
Weka cheti hicho sandukuni,usipoteze muda kuhangaikia hiyo ajira utaishishia kwenye ufukara.Ingia mtaani anza kustruggle mwenyewe kiuchumi utafika mbali. Kuna shughuli za ujasirimali,ufundi,kilimo na biashara zitakufaa kutegemeana na interest yako,that is plan B. Wengi walijikuta wamepata mafanikio maishani nje na fani walizozisomea
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom