Ni kama "brand" ya TBC imebomoka, nini kifanyike kuijenga?!

Toka Tido mhando aondoke TBC imepoteza dira
Na viongozi hadi mkulu kajiweka kando anaitukuza sana
Clouds TV
Haiwezekani asubuhi uamke na kipindi chao
TBC hata kukosea njia no

Na wao TBC wapo kizamani sana
Vifaa duni
Picha zao hazina ubora kama azam two katika live coverage
Wanunue camera nzuri
 
Hawana ubunifu watafte mbunifu vipindi vya maana na vinavyo vutia sio kila mara safari ya dodoma safari ya dodoma
 
kuna kipindi TBC ilikuwa juu hatari, enzi zile Ze comedy wanaikacha EATV wanaenda TBC ila nani mwenye uwezo wa kuiacha EATV kwa sasa na kwenda TBC? Hakika hakuna kwa kuwa TBC limebaki jina tu, hakuna jipya pale. kwanza mi ukinitajia jina TBC wakati nakula naweza nikaacha kula maana ni kinyaa!!!!
Sina cha kushauri acha tu ijifie hamna namna.
 
Kwa kweli umaarufu wa shirika letu la utangazaji umeporomoka sana.Toa mawazo yako nini kifanyike kuirejesha ile TBC iliyokarabatiwa na nguli wa utangazaji Tido Mhando.


mimi binafsi... nadhani vipindi vyao havina mvuto, na pia ubora wa picha zao.
 
Kwa kweli umaarufu wa shirika letu la utangazaji umeporomoka sana.Toa mawazo yako nini kifanyike kuirejesha ile TBC iliyokarabatiwa na nguli wa utangazaji Tido Mhando.

Kiranja wa Dar akatolee matamko huko TBC,sasa yeye anaenda kwa Ruge sijui kwanini,yaani hii nchi inahitaji maombi.
 
Nilisha piga marufuku nyumbani nikikuta mtu kafungulia namsambaratisha hapohapo sebuleni;Sitaki ujinga mimi.
 
Kwa kweli umaarufu wa shirika letu la utangazaji umeporomoka sana.Toa mawazo yako nini kifanyike kuirejesha ile TBC iliyokarabatiwa na nguli wa utangazaji Tido Mhando.


Mkurugenzii wa TBC aliyepo sasa ni mwandishi mbobezi, amefanya vizuri sana kabla ya kuja TBC, sijui kwa sasa kazukwa na nini au kapigwa ganzi? TBC igeni mfano wa Tumaini Media, ni chombo cha kanisa lakini mambo mengine wanaendanayo kama kawa, hawajibagui na mambo ya dini tu. TBC mnajibagua ki-serikali-serikali tu, mnasahau kama yapo yasiyo ya kiserikali yanaendelea katika nafasi yake tena kubwa tu
 
Simple, TBC iuwawe tu, haina faida hata moja, na yenyewe ndio ya mwisho hapa nchini, hakuna raia hata mmoja mwenye shida ya kuitizama TBC.
Hapana. Uundwe ubia TBC na CLOUDS. Au Clouds itaifishwe pamoja na wafanyakazi wake kuwa ya TBC iunganishwe kuwa TBC3. Nnauhakika hawa akina Babby watahama na maujanja yao na kuboresha TBC
 
Binafsi hata nikiwa na ushauri wa kuboresha siwezi kutoa kwa kuiboresha TBC.
kwani wao hawajitathmini? wanajitoa ufahamu tu hao, sitashangaa hata wao akina Rioba. hawatazami "TV yao", wapo busy na ITV na Azam.
Ife tu, haina maana na inajaza list tu.
 
Labda muda wote waweke ubongo kids, ili mwanangu ajifunze herufi kwa haraka.
 
Back
Top Bottom