Ni kabila gani unaweza pata mwenza mwenye hofu ya mungu!!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Wapendwa nawasalimu..
Kutokana na matukio ambaye yamekuwa yakijitokeza juu ya kusalitiana na wanawake kupenda kuwa na hulka ya kulipiza kisasi badala ya kuwa mwongoza nyumba..
Ni kabila gani ambayo waweza pata mwenza wa kike asiye mwepesi kugegedwa ovyo ovyo.....
 
Tehe tehe tehe! Kugegedwa kirahisi au kwa ugumu hakutegemei kabila ni hulka ya mtu mwenyewe hiyo ipo within people na siyo kabila so usigeneralise hata makabila yanayosifika kugegedwa ovyo kuna wenye ofu ya Mungu. Ni tabia na malezi tu zitadetermine hilo wazo la kabila ulifute kabisa halina maana. Hahaha kabila langu tuna hofu ya Mungu mno.
 
Haya mambo hayana dini wala kabila. Cha msingi ni kuzingatia vitu vifuatavyo;
1. Kumridhisha mtu wako kimapenzi. Unapokuwa kitandani unatakiwa kuwa crazy and dirty. Jifunze mbinu mbalimbali za kumridhisha mpenzi wako na jifunze mpenzi wako anataka nini. Wanaume wengi wanaweka ubabe na kutowapa wapenzi/wake zao uhuru wa kufunguka kuhusu kile wanachokitaka.
2. Unyesha upendo daima, mnunulie mkeo zawadi, mtoe outing na onyesha kujali. Mpe bafasi ya kuongea na thamini mchango wake.
3. Be closer to her. Mpigie simu mara kwa msra na mwambie ninakupenda. Mpeleke kazini na jioni umpitie su akupitie mrudi wote nyumbani kama wote mnafanya kazi. Kama ni mama wa nyumbani wahi kurudi nyumbani na umsaidie kazi za nyumbani.
4. Tafuta hela, hakikisha vitu vidogo vidogo havikosekani.
5. Usiwe na gubu, mwache mkeo ashiriki na wanawake wenzie kwenye mambo mbalimbali ya jamii. Kama kitchen parties etc.
6. Jali watoto na familia yake.

Ukitimiza hayo hakika mkeo hawezi kamwe kutoka nje.
 
Mkuu nimejaribu kuangalia vilio vya mahusiano mpaka nakosa la kusema..
Ukiwa na msomi shida
Ukiwa na ambaye hajasoma shida
Ukiwa na mkokole shida
Ukiwa na ambaye siyo mambo safi kwao shida
Ukiwa na ambaye amekulia boarding toka day care centre mpaka chuo ndo shida tena hawa ndio wa asisi wa usagaji na min kabang
Ukiwa na mwalimu nao siku hizi nao shida tupu......
Kichwa kinauma
 
haaa haaaa haaaa hapa isijekuwa shida ni ww? btw ukitaka aliye perfect umuumbe mwenyewe. wa mungu wote wana mapungufu including yourself
 
Haya mambo hayana dini wala kabila. Cha msingi ni kuzingatia vitu vifuatavyo;
1. Kumridhisha mtu wako kimapenzi. Unapokuwa kitandani unatakiwa kuwa crazy and dirty. Jifunze mbinu mbalimbali za kumridhisha mpenzi wako na jifunze mpenzi wako anataka nini. Wanaume wengi wanaweka ubabe na kutowapa wapenzi/wake zao uhuru wa kufunguka kuhusu kile wanachokitaka.
2. Unyesha upendo daima, mnunulie mkeo zawadi, mtoe outing na onyesha kujali. Mpe bafasi ya kuongea na thamini mchango wake.
3. Be closer to her. Mpigie simu mara kwa msra na mwambie ninakupenda. Mpeleke kazini na jioni umpitie su akupitie mrudi wote nyumbani kama wote mnafanya kazi. Kama ni mama wa nyumbani wahi kurudi nyumbani na umsaidie kazi za nyumbani.
4. Tafuta hela, hakikisha vitu vidogo vidogo havikosekani.
5. Usiwe na gubu, mwache mkeo ashiriki na wanawake wenzie kwenye mambo mbalimbali ya jamii. Kama kitchen parties etc.
6. Jali watoto na familia yake.

Ukitimiza hayo hakika mkeo hawezi kamwe kutoka nje.

Mkuu asante kwa mawazo samahani kidogo kama ww ni me umeoa au kama ww ni ke umeolewa
 
Mimi ni mwanaume. Nimeoa for five years sasa. Cha msingi ujue kama hutaki kuibiwa na wewe usiibe. Be closer to your wife. Make her your friend. Most important Skills, yes love making skills. Kuna watu wamekaa na wake zao 5,8 10 years, mwanamke hajawahi kucome. Lazima uchapiwe nje.
 
Haya mambo hayana dini wala kabila. Cha msingi ni kuzingatia vitu vifuatavyo;
1. Kumridhisha mtu wako kimapenzi. Unapokuwa kitandani unatakiwa kuwa crazy and dirty. Jifunze mbinu mbalimbali za kumridhisha mpenzi wako na jifunze mpenzi wako anataka nini. Wanaume wengi wanaweka ubabe na kutowapa wapenzi/wake zao uhuru wa kufunguka kuhusu kile wanachokitaka.
2. Unyesha upendo daima, mnunulie mkeo zawadi, mtoe outing na onyesha kujali. Mpe bafasi ya kuongea na thamini mchango wake.
3. Be closer to her. Mpigie simu mara kwa msra na mwambie ninakupenda. Mpeleke kazini na jioni umpitie su akupitie mrudi wote nyumbani kama wote mnafanya kazi. Kama ni mama wa nyumbani wahi kurudi nyumbani na umsaidie kazi za nyumbani.
4. Tafuta hela, hakikisha vitu vidogo vidogo havikosekani.
5. Usiwe na gubu, mwache mkeo ashiriki na wanawake wenzie kwenye mambo mbalimbali ya jamii. Kama kitchen parties etc.
6. Jali watoto na familia yake.

Ukitimiza hayo hakika mkeo hawezi kamwe kutoka nje.

Ni kumwomba Mungu tu ndg.....sikio la kufa huwa haluskii dawa...waweza fanya yooote hayo na bado akakusaliti akidhani aweza pata zaidi ya hayo.....i f possible kutathmin tabia ya mama mtu...
mara nyingi tabia ya mm huakisi ile ya bintie.....mama anayemheshimu mumewe halkadhalika na bintie huwa hivyo....
 
Wapendwa nawasalimu..
Kutokana na matukio ambaye yamekuwa yakijitokeza juu ya kusalitiana na wanawake kupenda kuwa na hulka ya kulipiza kisasi badala ya kuwa mwongoza nyumba..
Ni kabila gani ambayo waweza pata mwenza wa kike asiye mwepesi kugegedwa ovyo ovyo.....

Ndugu yangu ukiomba ushauri kwa hili utakuwa umekosea, labda ulifanye jambo hili kuwa ni siri yako wewe na MUNGU wako, muombe kila mara akupatie wa kufanana na wewe! ila ujue MUNGU atakupa kweli wakufanana na wewe! ili usije kumlaumu MUNGU baadae hebu jichunguze mienendo yako na tabia zako. isije ikawa wewe ndio mgegedaji number one, so akukupa mgegedwaji number one usilalamike! Muhimu fanya mabadiliko katika tabia na misingi ya maisha then sasa mwambie MUNGU sasa nimeridhika niko safi angalau 85% so nipatie wakufanana na mimi na MUNGU atakupatia mke ambaye hutaamini macho yako yaani utatamani uishi miaka elfu tano!
Mafanikio mema.
 
Haya mambo hayana dini wala kabila. Cha msingi ni kuzingatia vitu vifuatavyo;
1. Kumridhisha mtu wako kimapenzi. Unapokuwa kitandani unatakiwa kuwa crazy and dirty. Jifunze mbinu mbalimbali za kumridhisha mpenzi wako na jifunze mpenzi wako anataka nini. Wanaume wengi wanaweka ubabe na kutowapa wapenzi/wake zao uhuru wa kufunguka kuhusu kile wanachokitaka.
2. Unyesha upendo daima, mnunulie mkeo zawadi, mtoe outing na onyesha kujali. Mpe bafasi ya kuongea na thamini mchango wake.
3. Be closer to her. Mpigie simu mara kwa msra na mwambie ninakupenda. Mpeleke kazini na jioni umpitie su akupitie mrudi wote nyumbani kama wote mnafanya kazi. Kama ni mama wa nyumbani wahi kurudi nyumbani na umsaidie kazi za nyumbani.
4. Tafuta hela, hakikisha vitu vidogo vidogo havikosekani.
5. Usiwe na gubu, mwache mkeo ashiriki na wanawake wenzie kwenye mambo mbalimbali ya jamii. Kama kitchen parties etc.
6. Jali watoto na familia yake.

Ukitimiza hayo hakika mkeo hawezi kamwe kutoka nje.

...mkuu! umenena.
Ubarikiwe!
 
Back
Top Bottom