Ni Jukumu langu kuhakikisha wanawake niliozaa nao wanaolewa

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,466
8,281
Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu. Jamani sio kila single mother ni muhuni wengine ni matatizo yetu sisi wenyewe wanaume.

Kwa mfano mimi hapa, nimesababisha single mothers wanne hapa duniani na sio kusema walikuwa wahuni ila hapana ni ule upendo wao wa kutaka kuwa na mimi, kwa sababu ya yale maneno matamu ya kilaghai niliyo atumia wakati wa kuwatongoza ndio ilipelekea wao kuniamini na kuwa na uhakika wa penzi lao kumbe mimi napita tu.

Kwa hawa wanawake niliozaa nao nawahakikishieni sio wahuni, na kama hofu ni mimi mnahisi kuna siku nitawala hapana nitawaheshimu kwa hali na mali sitafanya hivyo.

Sifa za hawa wanawake:

1: Stella
Huyu ni mrefu kama futi sita hivi, ni maji ya kunde, ana sauti nyembamba sana, ana mwili mkubwa ila sio tipwa tipwa ni mchapa kazi na anajituma.

2: Rehema (Rey)
Huyu ni mpare, ana shepu kama ya Mange Kimambi hata urefu nahisi wapo sawa. Ni mzito kidogo kwenye yale mambo ya kujiongeza ila ni msikivu sana, ana tabia ya kupenda komandi ndio mambo yanaenda. Yaani kama wewe ni mwanaume nyoro nyoro huyu mtashindwana kwa sababu anapenda sauti ya mwanaume.

3: Khadija
Huyu ni mrefu kama futi tano kasoro kwa wale wazee wa shepu matata huyu ndio mama lao. Huyu bhana ulevi wake ni Rungu, kama upo vizuri yaani unaweza hata usiende kazini ukashindia KUCHAKATA tu. Kama upo vizuri sekta ya uchakataji wala hana noma atakusikiliza kila kitu.

4: Halima
Huyu kama unataka mke mwema ni hapa sema tu umang'aa wangu. Kama wewe ni mchungaji unataka kufungua makanisa basi huyu ndio mwenyewe, anasali sijapata ona na ana imani kali sana, yupo kama Bahati Bukuku.

Kwa hao wanawake wote hamna aliye zaidi ya miaka 25. Kwa nilivyo na uchungu nao sitaki wachezewe kabisa. Kama utakua na shida ya kuoa basi uwe serious yale mambo ya kuwaonja haya sio maandazi, na nimefanya hivi bila wao kujua so nitakachofanya ni kuwaunganisha.

Kwanini BINADAMU wenzangu wateseke kisa mimi, nasema lije jua ije mvua wataolewa tu.


Ukiniuliza kwa nini nipo hivi nitakujibu katika malezi yangu hayajawahi kumthani mwanamke na kuwaona wanawake ni wabaya na waumizaji hivyo nimekuwa nikiyaona hayo kuanzia kwa mzazi wa kike. Ila yote ya yote nimeumbwa na huruma sana ndio maana nimeamua rasmi kuwasaidia wahanga.

Kazi kwenu
 
Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu. Jamani sio kila singo maza ni muhuni wengine ni matatizo yetu sisi wenyewe wanaume.

Kwa mfano mimi hapa, nime sababisha masingo maza wa nne hapa duniani na sio kusema walikua wahuni ila hapana ni ule upendo wao wa kutaka kuwa na mimi, kwa sababu ya yale maneno matamu ya kilaghai niliyo yatumia wakati wa kuwatongoza ndio ilipelekea wao kuniamini na kuwa na uhakika wa penzi lao kumbe mimi napita tu.

Kwa hawa masingo maza nilio wazalisha nawahakikishieni sio wahuni, na kama hofu ni mimi mnahisi kuna siku nitawala hapana nitawaheshimu kwa hali na mali sita fanya hivo.

Sifa za hawa single maza wangu.

1: Stella
Huyu ni mrefu kama futi sita hivi,ni maji ya kunde, anasauti nyembamba sana, anamwili mkubwa ila sio tipwa tipwa ni mchapa kazi na anajituma.

3: Rehema (rey)
Huyu ni mpare, anashep kama ya mange kimambi hata urefu nahisi wapo sawa, ni mzito kidogo kwenye yale mambo ya kujiongeza ila ni msikivu sana, anatabia ya kupenda komandi ndio mambo yanaenda, Yaani kama wewe ni mwanaume nyoro nyoro huyu mtashindwana kwa sababu anapenda sauti ya mwanaume.

2: khadija
Huyu ni mrefu kama futi tano kasoro kwa wale wazee wa shep matata huyu ndio mama Lao, huyu bana ulevi wake ni Rungu kama upo vizuri Yaani unaweza hata usiende kazini ukashindia KUCHAKATA tu, kama upo vizuri sekta ya uchakataji wala hana noma atakusikiliza kila kitu.

4:Halima
Huyu kama unataka mke mwema ni hapa sema tu umang'aaa wangu. Kama wewe ni mchungaji unataka kufungua makanisa basi huyu ndio mwenyewe, anasali sijapata ona na anaimani kali sana, yupo kama bahati bukuku.


Kwa hao wanawake wote hamna alie zaidi ya miaka 25, kwa nilivyo na uchungu nao sitaki wachezewe kabisa.... Kama utakua na shida ya kuoa basi uwe serious yale mambo ya kuwa onja haya sio maandazi, na nimefanya hivi bila wao kujua so nitakacho fanya ni kuwaunganisha.

Kwa nini BINADAMU wenzangu wateseke kisa mimi, nasema lije jua ije mvua wataolewa tu.


Ukiniuliza kwa nini nipo hivi.... Nitakujibu katika malezi yangu hayaja wahi kumthani mwanamke na kuwa ona wanawake ni wabaya na waumizaji hivyo nimekua nikiyaona hayo kuanzia kwa mzazi wa kike, hivyo basi hao masingo maza ni mazao ya malezi ya mwanamke mwenzao, ila yote ya yote nimeumbwa na huruma sana ndio maana nimeamua rasmi kuwa saidia wahanga.

Kazi kwenu

Kazi si inatakiwa iwe kwako, na je unawajibika kutimiza mahitaji yote kwa hao watoto kama ni kweli after all.

Mahitaji hayo ni kwa watoto, tuachilie mbali mama zao, yote kwa yote ni tatizo la Mfumo Tu
 
Nitapambana kadri ya uwezo wangu
Kazi si inatakiwa iwe kwako, na je unawajibika kutimiza mahitaji yote kwa hao watoto kama ni kweli after all.

Mahitaji hayo ni kwa watoto, tuachilie mbali mama zao, yote kwa yote ni tatizo la Mfumo Tu
 
Back
Top Bottom