Ni jinsi gani unavyoweza kujikinga na dawa(sumu) wanazotumia wezi usiku ili ulale fofofo wakuibie?

kama hujaoa fanya kuoa.aisee mimi hawa watu usiku wanakuaga sensitive sana,sijui kutokana na pilika zetu za hapa na pale tuankua tumechoka .mimi matukio kibao wife ananiamsha hata akipita panya kadondosha kijiko ananikurupusha.
 
Tupeni jibu kwanza ni dawa ya aina gani wanayotumia? ni dawa ya kienyeji au ya kitaalamu kama formalin? na je! hilo beseni la maji linafanya kazi gani kitaalamu?
 
Tupeni jibu kwanza ni dawa ya aina gani wanayotumia? ni dawa ya kienyeji au ya kitaalamu kama formalin? na je! hilo beseni la maji linafanya kazi gani kitaalamu?
Ni mambo ya kemia kaka Formaldehyde is very soluble in water
 
Back
Top Bottom