Ni jinsi gani unamsaidia mwanao kupanga na kufuatilia ratiba ya kujisomea

John-dleo

New Member
Oct 22, 2019
1
1
Habari wana JF.

Ninahitaji kujua mbinu mnazotumia kuwasaidia watoto wenu kujisomea nyumbani. Mawazo yenu yatanipa mwanga juu ya njia za kuwasaidia watoto wangu maana nahisi wanahitaji msaada wangu.
 
Back
Top Bottom