Ni jinsi gani nitai-block namba hii inayonisumbua?

DAVIES KILANGI

Senior Member
Nov 25, 2018
174
117
habari za mihangaiko wakuu??? naombeni msaada wa kuna namba inasumbua sana mpaka naona kero nahitaji kwa anae fahamu namna ya kuifunga isinisue nifanye vipi ili kuizuia, au ni namba zipi zinatumika kufunga au kublock???. simu ninayojumia ni T484 na haina sehem ya black list NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom