Ni jinsi gani naweza kuuza vitabu vyangu nje ya nchi?

Supervision

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
265
203
Habari ndugu wanajukwaa!Ebwana mi ni mwandishj wa vitabu vyenye fikra chanya kwa jamii.Nimeanza kuandika kama miaka 5 iliyopita.Nimekwisha fanya semina pia kwa watu mbalimbali na wamependa kazi zangu.

Changamoto kubwa niliyokuwa nayo ni kutaka kuuza vitabu vyangu nje ya nchi lakini sijui ni kampuni gani inqweza ikasupport kazi zangu na taratibu zake zikoje.Nafahamu kuna vichwa vingi hapa na mawazo ni mazuri.Mwenye kuweza kunisaidia namna ya kufanya ili nifike huko ninakotaka,naomba aniambie hapa chini.
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom