Ni jinsi gani naweza kutoa pesa kwenye mtandao wa simu

Mkonowatembo

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
1,074
975
Jamaani naombeni utaratibu wa kuchukua fedha kwenye mpesa au tigopesa hasa baada ya ndugu yangu kuaga dunia ,mfano watu walioungua moto morogoro wakati wakichota mafuta je ndugu zao watazipataje hizo fedha walizoweka kwenye simu?
 
Utazipata baada ya taratibu za miradhi kukamilika.
 
Back
Top Bottom