Habari wadau,
Naomba kufahamu ni kwa namna gani naweza kupata kipato cha kuendesha maisha yangu kupitia E-Learning site.
Nina idea ya E-Learning ambayo soon itakuwa hewani, kila kitu kipo tayari upande wa content.
Nachoomba kusaidiwa.
1. Niende kujisajili Brela, TIE au nijisajili kama NGO ili niwe rasmi?
2. Ni kwa namna gani naweza kutengeneza pesa bila kuwalipisha watu wataoingia maana target yangu ni wanafunzi na tunajua sio wote wanaweza kumudu gharama?
Wapi naweza pata msaada wa kupata fund za kutanua huduma na kukuza platform yangu?
Naomba ushauri wenu plz.
kcamp
Computer Virus
BLACK_HERMIT
Tanzania Tech
guru_observer
pirate
@zigi01
Chige
Castle
ISO M.CodD
KeyserSoze
Infantry Soldier
Na wengine mtie neno plz kijana wenu nijikwamue.