Ni jinsi gani mwanaume unaweza kudeal na mwanamke aliyekuzidi kipato na kimaendeleo

Kipindi nasoma chuo kuna mdada alitokea kunipenda mpka tunamaliza wote chuo mapenzi yetu yalikuwa moto moto ......

Baada ya kumaliza chuo mwenzangu akabahatika pata AJIRA bank kipindi yupo ndani ya ajira akapangaga nyumba tabata mimi still nipo home sina ajira akanishawishi nihamie kwakeee

Kipindi nipo kwake nilikuwa kama Bwege aisee anaweza rudi usiku manane na nisiseme kitu, anaweza asilale nyumbani sisemi kitu, unaweza kuta sms Kwene simu yake za wanaume wengine usiseme kitu lakini mwisho wa siku nilikujaga kumuibia milioni tatu nikafungua biashara
A-ha! she Suck!
 
Nipo tayari kusahihishwa.

Naamini kiongozi wa familia lazima awe equiped.

My common sense inaniambia mme atakuwa na feeling of inadequecy which will results to inferiority complex.

Mwanamke wa hivi anahitaji mwanaume anayejua kujishusha na awe wa maisha ya kimagharibi.
Subutu. Mwanamme anatakiwa awe stern.

Nyie mnatujua vizuri kweli?
 
Kama anakupenda na mnapendana maisha yenu yatakuwa poa Sana, Ila kinyume chake itakuwa ni ubatili tu, mwanamke anaekuzidi kipato na maendeleo Kama hakupendi hamtafika mbali.
Wanawake wa aina hiyo hakuna siku hizi mkuu....hesabu maumivu tu
 
Huu ni mmoja kati ya mtihani mgumu sana kwa mwanaume pale unapoingia katika mahusiano na binti aliyekuzidi kimaendeleo kipato au

Unapokuwa na mchumba au mke ghafla amekuzidi kimaendeleo na yupo mbali zaidi yako
Wewe unajiona uko pale pale

Hebu tuambiane ni jinsi gani unaweza kudeal na such kind of woman maana wanaume wengi tukifikia hatua hii huwa tunapoteza mwelekeo
Inategemea kama alipata malezi mazuri na ni mcha Mungu,hutopata tabu kuishi nae kwani nafasi yake kama mwanamke ktk familia anaijua automatically.

Tatizo linakuja kama alikosa hivyo vitu viwili tokea mwanzoni hapo kumbadilisha ni kazi sana na kama ukiwa na mkono wa kupiga basi kuna siku atakusababishia matatizo ambayo ayata haribu maisha yako yote,labda WEWE MWENYEWE KWA MAKUSUDI UAMUE KUWA ZOBA/MJINGA.
 
Kipindi nasoma chuo kuna mdada alitokea kunipenda mpka tunamaliza wote chuo mapenzi yetu yalikuwa moto moto ......

Baada ya kumaliza chuo mwenzangu akabahatika pata AJIRA bank kipindi yupo ndani ya ajira akapangaga nyumba tabata mimi still nipo home sina ajira akanishawishi nihamie kwakeee

Kipindi nipo kwake nilikuwa kama Bwege aisee anaweza rudi usiku manane na nisiseme kitu, anaweza asilale nyumbani sisemi kitu, unaweza kuta sms Kwene simu yake za wanaume wengine usiseme kitu lakini mwisho wa siku nilikujaga kumuibia milioni tatu nikafungua biashara
ukajiona mjanjaaaa.......so wewe ni mwizi....
 
sio kama anakupenda.......ni iwe MNAPENDA HASWAA......wanawake tumeumbiwa sisi WANAUME....so awe na chochote ni halali yetu......akili yako maisha yako........the issue ni how dd u take care of HER? kwa hali uliyo nayo?...be a man....a real man.......
 
Back
Top Bottom