Ni jambo/tendo gani ambali hauwezi lisahau maisha yako na ukilimbuka unaishia kwenye sintfahamu.. LIANDIKE HAPA

masara

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,738
2,279
za jumapili yenu na mda huu wa A Jamii forum
Katika maisha kuanzia maisha ya udogo hadi hivi sasa naamini kuna jambo ambalo kiukweli ukilikumbuka unaishia kusimulia na ila wewe binafsi unakuwa na sintofaham.
JAMBO HILO LINAWEZA KUWA NI MAHUSIANO AU KUNYANYASWA. AU MAISHA AU JAMBO LOLOTE AMBALO UKILIWAZA KWA UNDANI UNAISHIA NA SINTOFAHAM NA KUSHANGAA TU.
Baada ya kukumbuka hilo/hayo mambo kuna kitu ukimwangalia mwingine unabaki kunyenyekea tu na kiburi kinakuisha na kukufanya kumueshim kila mtu.
Kwa upande wangu yapo mengi ila nitaandika machache.
1. Mimi kwetu ingawa ni maskini hasa, lakini baba yangu hakutaka nirudie shule hivyo akanipeleka shule ya private secondary.. hivyo kipindi niko kidato cha pili tulikuwa tunarudi kulala shule kwa ajiri ya kusoma. Na kwa vile mama hakuwepo tulikuwa tunajipikia.. nakumbuka siku moja kulikuwa na mboga, unga lakini mkaa kulikuwa hakuna. Hivyo nilipofika nyumba nikawasha kuni. Na kwa vile nilikuwa na njaa nikapika mboga halafu Ugali.kuni zilikuwa mbichi hivyo kipindi napika ugali hazikuweza kuwa na moto wa kutosha hivyo nikawa nabost/kuchochea na makaratasi ya boksi.. mwisho wa story ni kuwa ugali ulikuwa m-bichi. Ile namaliza tu kupika ugali m-bichi. Baba akafika na mdogo wangu ndio katoka shule mda huo. Kibaya zaidi mzee hakuwa na kitu/pesa kabisa na natakiwa saa 1. Jioni nirudi shule.. nakumbuka baba aliutenga ule ugali na tukaula.. mwisho mzee akatufariji kiana na ndio ikawa imetoka hivyo maana hakuwa na kitu kabisa..igawa leo sina uwezo lakini siko katika nafasi hiyo ya kuishiwa. Huwa nikikumbuka hivyo, naweza mwangalia mtu wa hali ya chini zaidi yangu halafu naishia kuwaza haya ni maisha tu. Na ndio kinanifanya kuwa mnyenyekevu zaidi kuliko hulka yangu.
2. Kuna siku katika utoto wangu.. nilikuwa napanda juu ya bati kupitia yale matoleo ya nyumba ukutani. Hivyo siku moja nikapanda kama kawaida.. ile nafika juu kabisa ili nishike bati. Tofauli ambalo nilikuwa nalitegemea liliachia hivyo nikaanguka na lenyewe likawa linanifata kwa juu.. inamaana lilitakiwa liangukie kwenye tumbo langu. Ukweli mpaka leo sijui kilifanyika nini, ila nakumbuka niangukia mgongo na lenyewe likangukia pembeni chini badala ya tumbuni... NIKIKUMBUKA NA NIKIWAANGALIA VILEMA BARABARANI HUWA NAKOSA LA KUSEMA
Naamini hata wewe unaweza kuwa na mengi ya kuongea ila unaweza andika hata moja tu nahisi tutajifunza jambo
NB. UNAWEZA ANDIKA HATA KISA CHA MAHUSIANO YA KIMAPENZI, ULIVYODHALILISHWA NA NDUGU.. N. K.
 
Mie sitosahau kipindi nipo umri kama miaka 5 kuna mwanamke alinitilia sumu kwenye chakula huyo mwanamke ni jirani nakumbuka mtoto wake aliniambia usile chakula hiko kina sumu yule mwanamke alisema hapana muongo huyo kula mm nilikila kile chakula nilivyomaliza akaniambia nenda nyumbani mm nkaenda nyumbani baada ya kufika nyumbani dk kadhaa nikaanza kubadilika mama angu aliniuliza nn nikamwambia mama khadijah kanipa chakula mwanae Hawa kaniambia kina sumu, alikuwa mama na mpangaji wetu mpangaji yule alikimbia kununua maziwa fresh akaleta nikanywa vizuri nikameza wakawa wananiambia kunywa tena mengi baada ya dk kadhaa nilitapika sumu yaan ni mungu tu ningekuwa nshakufa,ila hadi sasa sifahamu kwann aliniwekea sumu kwenye chakula.
 
Mwaka 2009 nikiwa OCD mwanza mdada mmoja alikuja kunitupia mwanaye Albino nijue pa kumpeleka kisa kapata mwanaume mwarabu hataki mtoto zeruzeru mbele yake.Waziri mmoja aliniokoa kwa kumchukua akaenda kumsomesha.Sikumwelewa yule mzazi.
Hahahaaaaa, ujafatilia kama hyo wazir kampelek shule kwel au Kule Kule machinjoni
 
Duh.. pole sana
Mwaka 2009 nikiwa OCD mwanza mdada mmoja alikuja kunitupia mwanaye Albino nijue pa kumpeleka kisa kapata mwanaume mwarabu hataki mtoto zeruzeru mbele yake.Waziri mmoja aliniokoa kwa kumchukua akaenda kumsomesha.Sikumwelewa yule mzazi.
 
Mhhhhhh.. nimerudia mara mbili. Yaani mtu anakuuwa bila wewe kujua kosa lako
Mie sitosahau kipindi nipo umri kama miaka 5 kuna mwanamke alinitilia sumu kwenye chakula huyo mwanamke ni jirani nakumbuka mtoto wake aliniambia usile chakula hiko kina sumu yule mwanamke alisema hapana muongo huyo kula mm nilikila kile chakula nilivyomaliza akaniambia nenda nyumbani mm nkaenda nyumbani baada ya kufika nyumbani dk kadhaa nikaanza kubadilika mama angu aliniuliza nn nikamwambia mama khadijah kanipa chakula mwanae Hawa kaniambia kina sumu, alikuwa mama na mpangaji wetu mpangaji yule alikimbia kununua maziwa fresh akaleta nikanywa vizuri nikameza wakawa wananiambia kunywa tena mengi baada ya dk kadhaa nilitapika sumu yaan ni mungu tu ningekuwa nshakufa,ila hadi sasa sifahamu kwann aliniwekea sumu kwenye chakula.
 
Mwaka 2009 nikiwa OCD mwanza mdada mmoja alikuja kunitupia mwanaye Albino nijue pa kumpeleka kisa kapata mwanaume mwarabu hataki mtoto zeruzeru mbele yake.Waziri mmoja aliniokoa kwa kumchukua akaenda kumsomesha.Sikumwelewa yule mzazi.
Aiseee huyo mama balaaa
 
Mie sitosahau kipindi nipo umri kama miaka 5 kuna mwanamke alinitilia sumu kwenye chakula huyo mwanamke ni jirani nakumbuka mtoto wake aliniambia usile chakula hiko kina sumu yule mwanamke alisema hapana muongo huyo kula mm nilikila kile chakula nilivyomaliza akaniambia nenda nyumbani mm nkaenda nyumbani baada ya kufika nyumbani dk kadhaa nikaanza kubadilika mama angu aliniuliza nn nikamwambia mama khadijah kanipa chakula mwanae Hawa kaniambia kina sumu, alikuwa mama na mpangaji wetu mpangaji yule alikimbia kununua maziwa fresh akaleta nikanywa vizuri nikameza wakawa wananiambia kunywa tena mengi baada ya dk kadhaa nilitapika sumu yaan ni mungu tu ningekuwa nshakufa,ila hadi sasa sifahamu kwann aliniwekea sumu kwenye chakula.
Itakuwa labda alikuwa na bifu na maza akoo...!! Aisee huyo mama muuaji.. Ukikutana nae leo unaweza mfanya mbayaa... Vipi hakukimbia baada ya tukio??
 
Ulikuwa unapenda kula hovyo mkuu?

Back
Top Bottom