Ni jambo la muhimu sana lakini hataki kuniambia ukweli. Nisaidieni...

Akiwa mkweli ndiyo itajulikana kama anayo au hana, vinginevyo nendeni Hospitali mkapime ili kupata uhakika zaidi, usiache kuleta mrejesho.
 
Hiyo Mambo ya kutumia kitu nje ilitushinda na wife! Tulipiga kimoja Cha taratiibu yaani tumekaa room tunaangalia tv huku abdalah kichwa wazi yupo ndani halafu hatumove lkn playing na tits, kisses fondling km saa nzima hivi, tunafuta tu utelezi!! Haaaaa mwenzangu yakamshinda tukapiga game hatari wakati wa kukojoa nikapigwa mkasi sikutoka.

Baadaye tumemaliza anaruka umekojoa ndani uwiiii. Nikamuuliza ule mkasi ulifikiria Nini? Sasa Mtoto ana 2 yrs tayari na ni wa kike amezaliwa na shape Kama ya Mama yake yaani mpaka naogopa! So kamanda hiyo Mambo ya kukojoa nje achana nayo vaa kondom ukipige safe. Ukimaliza inuka kamwage mzigo wako mweeyewe condom hakikisha umeidump kunakohusika.
 
Asante mzee, 👋👋👋
Hiyo Mambo ya kutumia kitu nje ilitushinda na wife! Tulipiga kimoja Cha taratiibu yaani tumekaa room tunaangalia tv huku abdalah kichwa wazi yupo ndani halafu hatumove lkn playing na tits, kisses fondling km saa nzima hivi, tunafuta tu utelezi!! Haaaaa mwenzangu yakamshinda tukapiga game hatari wakati wa kukojoa nikapigwa mkasi sikutoka. Baadaye tumemaliza anaruka umekojoa ndani uwiiii. Nikamuuliza ule mkasi ulifikiria Nini? Sasa Mtoto ana 2 yrs tayari na ni wa kike amezaliwa na shape Kama ya Mama yake yaani mpaka naogopa! So kamanda hiyo Mambo ya kukojoa nje achana nayo vaa kondom ukipige safe. Ukimaliza inuka kamwage mzigo wako mweeyewe condom hakikisha umeidump kunakohusika
 
Kila Mwezi weka 50000 account maalum baada ya miez kumi utakuwa na laki tano..ya kwenda ku bet hospital mpimwe DNA..SASA HV WE TULIA TENA IKIBIDI MWAMBIE KBS HUU MPANGO ILI KAMA SIO KWELI AJICHUJE MWENYEWE

NB:MIMBA HAILELEWI ANALELEWA MTOTO SASA UKIPIGWA MIZINGA HUKO KWA HII MIEZI TISA SISI HATUHUSIKI

Darmian
Extrovert
 
We una miaka mingapi mpaka unakimbia mimba kwa kisingizio cha kutokukubaliana?

Matendo yana matokeo.

Hiyo mimba ni matokeo. Mwanaume jitahidi kudeal na matokeo I dealt with mine nikiwa form four kama wewe unajiona bado mtoto.

Pia nakupa siri. Mwanamke akisema "Nipe mimba nitalea mwenyewe" na ukakubali subiri uone ni kivipi 'nitalea' inageuka 'utalea'
 
Mambo mengine ni miyeyusho. Don Nalimison afanye DNA test na wewe ufanye DNA test tofauti yenu itakua ipi?

Kujifungua kutegemea na mkoa kunarange 20K mpaka 30K.

Ile kit ya uzazi haizidi 30K

Kanyelamumo zinauzwa 1000 na kanyelamumo kali 3000. Bonus ni kwamba hizi zinavaliwa na jinsi yeyote.

Chini ya hiyo 500K anajipatia heshima ya baba. Kwa gharama ya 500K anaenda daraja moja na mmarekani Don Nalimison
 
Mzee mi sijakimbia hilo jukumu na wala sijaonyesha kwamba nitakimbia ikiwa nitaambiwa ipo kweli, tatizo ni kwamba hasemi serious kama ipo au haipo
We una miaka mingapi mpaka unakimbia mimba kwa kisingizio cha kutokukubaliana?

Matendo yana matokeo.

Hiyo mimba ni matokeo. Mwanaume jitahidi kudeal na matokeo I dealt with mine nikiwa form four kama wewe unajiona bado mtoto.

Pia nakupa siri. Mwanamke akisema "Nipe mimba nitalea mwenyewe" na ukakubali subiri uone ni kivipi 'nitalea' inageuka 'utalea'
 
Kila Mwezi weka 50000 account maalum baada ya miez kumi utakuwa na laki tano..ya kwenda ku bet hospital mpimwe DNA..SASA HV WE TULIA TENA IKIBIDI MWAMBIE KBS HUU MPANGO ILI KAMA SIO KWELI AJICHUJE MWENYEWE
Ni ushauri mzuri pia huu, asante
 
Habari zenu wanaJF!

Ni hivi, kuna msichana mmoja nilizoeana nae sana kipindi alipokuwa ameolewa. Kuna kipindi ndoa yao iliingia dosari akaachana na mumewe wakiwa na mtoto mmoja, kiufupi huyu msichana hakuwa na kosa la kuachwa Ila mumewe alifanya maamuzi haraka sana ya kumuacha kwa mambo ya
Nendeni hospitali kupima kama hamjui jinsi ya kujipima wenyewe.
 
Kumwaga nje sio suluhisho

Kuna yale majimaji huwa yanatoka kabla ya shahawa zenyewe,ndani ya yale maji maji kuna vishahawa huwa vinajichomekamo.

Pia baada ya kumwaga kwenye ile njia kuna vishahawa huwa vinabaki

Mimba huwa inahitaji kimbegu kimoja tu.

Kama ulikuwa unapiga kimoja asubuh kurudia tena mpaka mchana jichunguze utakuwa na tatizo la nguvu za kiume,muda mrefu sana huosamahani lakini mkuu.kama nimekukosea
 
Natamani awe ananitania kweli maana hapa nawaza sijui jamii yetu itanichukuliaje kwa kosa hili nililofanya
Ukiona anakutania kuhusu mimba jua iko njiani .kipimo hakizid huku 3 mwite mpime kama hana achana naye usitest sumu kwa kuilamba.
 
Kumwaga nje sio suluhisho

Kuna yale majimaji huwa yanatoka kabla ya shahawa zenyewe,ndani ya yale maji maji kuna vishahawa huwa vinajichomekamo.

Pia baada ya kumwaga kwenye ile njia kuna vishahawa huwa vinabaki

Mimba huwa inahitaji kimbegu kimoja tu.

Kama ulikuwa unapiga kimoja asubuh kurudia tena mpaka mchana jichunguze utakuwa na tatizo la nguvu za kiume,muda mrefu sana huosamahani lakini mkuu.kama nimekukosea
Asubuhi kisha kurudia mchana haimaanishi hapo kati hamna hamu ila ni kwamba nilikuwa katika juhudi za kuhakikisha shahawa zile zinazobaki ziwe zimetoka kabisa, kama angekuwa anakubali condom tusingekaa time yote hiyo
 
Back
Top Bottom