Ni J. Heche leo 29/07/2012 alinguruma IRA!

Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,184
259
Alikuwa anatikisa IRA leo kwa baba Mchungaji DSC00276.JPG DSC00289.JPG DSC00295.JPG DSC00294.JPG DSC00310.JPG DSC00311.JPG Msigwa! DSC00283.JPG
 
Jamani anayeweza kuzipanga hizo picha atusaidie, zinafutia kweli zikiwa kwenye order nzuri, lakini zilivyo sasa, hazipendizi japo...tusaidieni mliowahi kuifahamu teknojia hii ya kigeni...!
 
hapa Iringa palikuwa hapatoshi!

ila Nilikuwa angalizo moja tu!

kwa kweli niwapongeze wapambanaji kwa kazi nzuri wanayoifanya! ILA!!!
hotuba nyingi na muda mwingi wanautumia kuwaambia WaTz juu ya sera mbovu za CCM na serikali yake, udhaifu kwenye usimamizi wa rasilimali za TaTz, hii inawachochea vijana na wapenda mabadiliko kuwa na hasira na serikali iliyo madarakani! lakini hii sioni kama ni sawa kutumia masaa 2 kusema juu ya ufisadi H/W, sijui Twiga wameuzwa, sijui Maige amenunua nyumba ya bil 1.4. halafu tunatumia dk 25 kusema juu ya sera za CDM na manifesto! yake.

Sikusudii kuwafundisha viongozi wangu siasa wala kuhutubu, lakini nionavyo mm hii si sahihi, tutumie muda mwingi kusema juu ya sera za CDM ili waTz waijue CDM, waelewe sera za majimbo zinafanyaje kazi na wazizoee!! MMwanakijiji aliwahi kushauri hili pia lakini naona bado hakuna mabadiliko. Kusema juu ya kushindwa kwa CCM ni sahihi kabs lkn iwe inatokea wakati wa kuelezea mifano ili wTZ wajue ni nini sera mbadala za kuwatoa hapa tulipo.

Tunapowaambia tu twiga, EPA, Maige, Madini.. halafu tunaambiwa asanteni kwa kunisikiliza Hell no!!! no kwa chama Makini na viongozi makini kama wa CDM!!

Please make use of this kama mmtaona inafaa!!
 
Aloo mzee asante sana kwa angalizo ila mtandao uko chini sana na nimekuwa na wakati mgumu sana nilipokuwa naapload! nikaona ni bora tu liende angalao ujumbe ufike!! karibu sana MoD msaidie hili!
 
hapa Iringa palikuwa hapatoshi!

ila Nilikuwa angalizo moja tu!

kwa kweli niwapongeze wapambanaji kwa kazi nzuri wanayoifanya! ILA!!!
hotuba nyingi na muda mwingi wanautumia kuwaambia WaTz juu ya sera mbovu za CCM na serikali yake, udhaifu kwenye usimamizi wa rasilimali za TaTz, hii inawachochea vijana na wapenda mabadiliko kuwa na hasira na serikali iliyo madarakani! lakini hii sioni kama ni sawa kutumia masaa 2 kusema juu ya ufisadi H/W, sijui Twiga wameuzwa, sijui Maige amenunua nyumba ya bil 1.4. halafu tunatumia dk 25 kusema juu ya sera za CDM na manifesto! yake.

Sikusudii kuwafundisha viongozi wangu siasa wala kuhutubu, lakini nionavyo mm hii si sahihi, tutumie muda mwingi kusema juu ya sera za CDM ili waTz waijue CDM, waelewe sera za majimbo zinafanyaje kazi na wazizoee!! MMwanakijiji aliwahi kushauri hili pia lakini naona bado hakuna mabadiliko. Kusema juu ya kushindwa kwa CCM ni sahihi kabs lkn iwe inatokea wakati wa kuelezea mifano ili wTZ wajue ni nini sera mbadala za kuwatoa hapa tulipo.

Tunapowaambia tu twiga, EPA, Maige, Madini.. halafu tunaambiwa asanteni kwa kunisikiliza Hell no!!! no kwa chama Makini na viongozi makini kama wa CDM!!

Please make use of this kama mmtaona inafaa!!
watanzania tufumbue macho na tutafakari kwa makini na busara kwaajili yakizazi kijacho
 
Pamoja kuwa wapinzani wanaibua uozo wa chama tawala, pia wanapaswa kuonyesha NJIA M BADALA yakulikomboa taifa ktk changamoto linazopitia, kwakuishauri serikali iliyopo madarakani, maadui wa taifa hili ni UJINGA, MARADHI, na UMASIKINI. Sote tuwe namikakati yakupambana na maadui hawa lkn isiwekutafutana.
 
Jamani anayeweza kuzipanga hizo picha atusaidie, zinafutia kweli zikiwa kwenye order nzuri, lakini zilivyo sasa, hazipendizi japo...tusaidieni mliowahi kuifahamu teknojia hii ya kigeni...!

E Emwenyezi Mungu usikilize kilio cha huyu STK ONE, anayelilia Ukimwi na aupate kabla ya mwaka kuisha, na wote tuseme Amina.
 
Back
Top Bottom