Mlasani
Senior Member
- Nov 29, 2012
- 113
- 28
Mara nyingi nimekuwa nikisikia maoni na mitizamo ya watu kuhusu uvaaji wa vyupi na boxer kwa wanaume. Baadhi ya watu wanasema vyupi vinaharibu uume na kupunguza nguvu sabau ya joto na kumbana sana mheshimiwa sana, wengine wanasema vyupi vinasaidia wale wenye vijogoo vya kuwika kila mara. Je ni kipi Sahihi kati ya vyupi na boxer?