Ni ipi sababu ya mataifa makubwa duniani kuwawekea ukomo wananchi wao wa idadi ya watoto wanaotakiwa kuzaa

Siri ya sifuri

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
1,426
2,000
Salaam kwenu waheshimiwa.

Nimetafakari kwa kina kadiri ya ufaham wangu ila sijafanikiwa kupata jibu moja lisilo na shaka na kujikuta nikibaki na "labda" Naamini hapa nyumbani kwa wasomi naweza kupata jibu lisilo na shaka.

Mataifa mengi yenye uwezo mkubwa wa kiuchumi na uhakika wa kuhudumia watu wao ikiwemo Japan, uingereza, Amerika na mengineyo wameweka ukomo wa idadi ya watoto wa kuzaliwa kwenye kila familia moja, yaani Mume na mke wameruhusiwa kuzaa watoto ama mmoja, wawili au watatu na si zaidi ya hapo na hawaruhusiwi kabisa kuzaa watoto wengine zaidi ya wale walioruhusiwa na mamlaka.

Lakini hapohapo wanaruhusiwa kuasili (kuchukua watoto wakulea)kutoka katika Mataifa mengine na kuishinao kama watoto wao wakuwazaa wakiwahudumia kila kitu, ninachotaka kujua hapa ni nini lengo la kuwawekea watu wao ukomo wa kuzaa?

Maana mimi binafsi nilidhani wamelenga kupunguza ongezeko la watu kwenye mataifa yao lakini watapunguaje ikiwa wanaruhusiwa kuchukua watoto kwenye mataifa mengine na kuwaingiza nchini mwao!?

Au labda lengo ni kulinda afya za akina mama zao kwa kuwazuia wasizae watoto wengi!? Au kuna jingine lolote lililofichwa!? Tafadhali, Wakuu napenda kujua mitazamo yenu.
 
Anigrain

JF-Expert Member
Nov 15, 2020
349
1,000
Kwanza sina uhakika kama England na America kwa ujumla wanapangiwa watoto wa kuzaa, kwa japan na China niliwahi kuskia wanafanya hivo, turudi kwenye mada yetu

Kwa nchi za kimaskini mwanamke anachukuliwa kama sehemu ya kuondolea stress za maisha, hivo sex inapewa kipaumbele sana na watu maskini ndomana utakuta maskini ana watoto 7 ila tajiri anao 3, maskini anakuwa na watoto wengi sio kwa kupenda bali wanakuja tu kwakuwa tendo la sex kwao halina break, anarudi na stress zake home anaishia kupanda juu ya kiuno, na mwanamke wa maskini anajua kuwa sehemu ya kumfurahisha mume wake ni kumpa tu haina za siku za hatari wala siku za mwizi ni 40

Basi kwa nchi kama china na japan waliweka hiyo ili kupunguza population kwani jamaa walikuwa na wimbi kubwa la maskini, kwa nchi tajiri watu wake wanakuwa na mentality tofauti ya kuogopa kuzaa watoto wengi kwani watakosa mahitaji muhimu kama maradhi, elimu na afya, huwezi kuzaa watoto wengi kama una lengo wanao wasome feza boys au st marian, huwezi kuzaa watoto wengi km unataka watoto wako waishi maisha mazuri duniani na sio kusindikiza watoto wa wengine

Na nchi ambazo wanaruhusu kuadopt watoto ni pale wanapojiridhisha una uwezo wa kumpa malezi bora huyo mtoto,kuanzia maradhi,elimu na Afya, ila nchi maskini na watu maskini tuna misemo yetu km kila mtoto huja na sahani yake au tumeambiwa tuujaze ulimwengu, sasa baba ana kazi yake mama ana kazi yake wote mnahangaika kutafuta pesa kwa ajili ya familia sangapi mtapata muda wa kuujaza ulimwengu
 
Kalpana

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
8,202

Hapo kwenye maradhi hapoo au unamaanisha malazi.
 
Siri ya sifuri

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
1,426
2,000
Asante mkuu.

ngawia

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
500
500
Kwanza Mtumishi aliyeajiriwa na serekali ni kila baada ya miaka mitatu ndio unapata likizo ya uzazi tayari wameshabana wtt wengi hapo wanaohasishwa basi watakuwa wale wasiokuwa na ajira rasmi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom