Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntafute tumakize kazii
Mjumbe......ume generalise sana.......'umri wa mti uliokomaa na kuvunwa' inategemea specie na sababu ya mti kuvunwa.....kwa mfano Eucalyptus unaweza kuvuna kwaajili ya mbao,kuni, ama fito. Katika kila sababu kuna miaka yakuvuna (na saa nyingine sub speicie zinaweza kutofautiana), kwa mfano mbao inaweza ku range 10 to 15 lakini kama unataka mbao ya 10 by 1 huwezi kupata within that time itabidi usubiri hadi 20 years, kuni baada ya miaka mitatu unaweza kuanza kupron kwaajili ya kutengeneza then from 5 years unaweza kuanza kuvuna kwaajili ya mirunda, then 10 unaweza kuvuna kwaajili ya pole..........nacho jaribu kukueleza ni kwamba kila mti unaspecificity zake.......nenda TAFORI watakusaidia hawezi kuja mtu hapa akakuueleza za miti yoteKilimo cha Miti Kina Hadithi nyingi za kufikirika.
Toka episode ya 2017 - 2019 Nashuhudia mgongano Mkubwa wa michango ya mawazo ya wadau.
Zaidi sana ktk kupata uhakika wa Umri wa Mti uliokomaa na kustahili kuvunwa, sambamba na Jiografia yake.
Wengi wanasema miaka 15 - 20.
Wengine wanasema 7-8.
Mwingine amehitimsha kwa kusema 30.
Kwa Ufahamu huo, Mimi najiuliza,,,,,,,Hakuna hata Muhusika mmoja toka Taasisi zinazojihusiha na kilimo cha miti, mwenye moyo wa kutupa data za uhakika juu ya hayo?
Au MPAKA tuwafuate maofisini mwao?
UHAKIKA HULETA USHAWISHI NA MATOKEO HUWA CHANYA.
Kama shi ngap jombaaSamahani ntajibu kwa kifupi,kuna aina nyingi za miti ya mbao,lakin kwa kwa upande maeneo niliyopo mimi iringa(mufindi) paina (misindano) inafanya vizuri sanaa ndio maana hata selikal ina mashamba makubwa sna sao hill,pia kuna miti ya nguzo ambayo inauwezo wa kutoa mbao na nguzo pia.umri wa kuvunwa ni kwansia miak sita,na kwa ekar mojaa unawezaa tengenezaa hela ndefu.
Nakushauri panda mimea ya mbuyu..Sioni mkiongelea mninga na mkongo... tupeni somo jamanii
mbao bora hutegemeana na matumizi uliyoyalenga pia. kama unahitaji kwaajili ya kuuza nje au mbao ngumu nakushauri upande mitiki.
mtiki ni mti wenye thamani kubwa sana kwenye soko la dunia kwa sasa kutokana na ubora wake.
inakomaa kuanzia miaka 15 hadi 20.
miche inapatikana morogoro @400 kwa mche mmoja utaletwa ulipo
0757026958
0766006128
FDT Iringa wanasambaza mbegu hizo, ila mwitikio umekuwa hafifu sbb ya mbegu zake kuwa ghari balaa. Wana shamba pale Kisolanza/Rungemba, kwa anayetaka ni vema akachapa lapa ili akajifunze kwa vitendo zaidi.
Wap jembe mufindi auKaribu sana tuoteshe miti kwa uchumi na mazingira.
Mafinga sehemu ganNjoo mafinga ninauza miti ya mbao aina ya piner ukitaka yakufuga ipo heka ni kaki 9 miti ina umri miaka mi nne
Sawala
Mufindi na Njombe