Ni ipi lotion au cream nzuri ya kung'arisha ngozi?

Mtafiti77

Mtafiti77

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Messages
303
Likes
273
Points
80
Mtafiti77

Mtafiti77

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2011
303 273 80
Habari wana jf....
NOTE; Sihitaji mahubiri wala mawaidha kuhusu mara "black is beutiful' kwani kuna asiyejua sihitaji mawaidha yoyote hapa...maana kuna watu hawajielewi.....kama huwezi kuchangia potezea
Jamani nahisi naishiwa na pozi ninunue ipi au niache ipi naombeni mnisaidie ni lotion gani nzuri ya kung'arisha ngozi ambayo mnaijua ni ya uhakika

NOTE:Sio kujichubua nataka kung'aa tena ning'ae haswaa nataka ipi nzuri inayopatikana duka la vipodozi???
Na iwe affordable basi si unajua usawa huu??

Iwe kati ya rangi ya 0-10000 yaani iwe chini ya 10000 au isizidi 10000
Plz anayejua anisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
Mada yako inalazimisha mahubiri hivyo, utahubiriwa tu.Okay, dawa kuwa na ngozi angavu ni kufanya yafuatayo:

1.Kula chakula bora(balanced diet)

2. Lala muda unaopendekezwa na wataalamu wa afya

3.Kuwa msafi,kuanzia mwili,mavazi hadi unapolala

4.Fanya mazoezi maalumu ya kiafya

5.Wakati wote hakikisha unapenda kufurahi, acha visirani, kuweka vitu moyoni na uepuke msongo wa mawazo

Ndugu , tembea dunia nzima, ukimkuta daktari au mtaalamu wa ngozi wa kweli, asipokushauri mambo haya huyo hakutakii mema.Hakuna kemikali itakayoweza kukuridhisha machoni ikakuacha salama. Na kadiri unavyosisitiza vya bei rahisi ndiyo unajiweka mazingira hatarishi.Vipodozi vingi vya bei rahisi havizingatii ubora, ukitaka bora ni ghali sana.

Utaona kwa mfano, dada zetu wengi wanapenda shortcut, wanajilipua na mavitu kama Top lemon au Carolite. Wachina wamewajazia HYDOQUINONE na vingine vina MERCURY ,unapaka siku mbili ushakuwa kama Mkongo lakini madhara yake ni ya kudumu na makubwa sana.

Tafakari, chukua hatua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
1,661
Likes
737
Points
280
toplemon

toplemon

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
1,661 737 280
Mada yako inalazimisha mahubiri hivyo, utahubiriwa tu.Okay, dawa kuwa na ngozi angavu ni kufanya yafuatayo:

1.Kula chakula bora(balanced diet)

2. Lala muda unaopendekezwa na wataalamu wa afya

3.Kuwa msafi,kuanzia mwili,mavazi hadi unapolala

4.Fanya mazoezi maalumu ya kiafya

5.Wakati wote hakikisha unapenda kufurahi, acha visirani, kuweka vitu moyoni na uepuke msongo wa mawazo

Ndugu , tembea dunia nzima, ukimkuta daktari au mtaalamu wa ngozi wa kweli, asipokushauri mambo haya huyo hakutakii mema.Hakuna kemikali itakayoweza kukuridhisha machoni ikakuacha salama. Na kadiri unavyosisitiza vya bei rahisi ndiyo unajiweka mazingira hatarishi.Vipodozi vingi vya bei rahisi havizingatii ubora, ukitaka bora ni ghali sana.

Utaona kwa mfano, dada zetu wengi wanapenda shortcut, wanajilipua na mavitu kama Top lemon au Carolite. Wachina wamewajazia HYDOQUINONE na vingine vina MERCURY ,unapaka siku mbili ushakuwa kama Mkongo lakini madhara yake ni ya kudumu na makubwa sana.

Tafakari, chukua hatua

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,262,353
Members 485,558
Posts 30,121,025