Ni ipi hatua nzuri ya kuchukua baada ya kumfumania mkeo/ mumeo kwa mara ya kwanza?

Muulize kwa nini kaamua kukusaliti, then mengine yatafuata kama ni kumsamehe au vip?Ila asilimia kubwa ya wanawake wakiwafumania waume zao huwasemehe ila kwa wanaume huwa ni vigumu sana kuwasamehe wake zao
Vp ukimuuliza then akakujibu hovyo? Mfano kama huu wa majibu ya hovyo nimeshuhudia karibuni, mwanamke alimwambia mmewe, "mwanaume gani suruali?"
 
Kama inawezekana, sijahiti usiende kumfimania mke/mume wako! Ukimkuta live, HUTAMSAMEHE!WAZEE wa zamani waliyajua hayo. Ndio maana wakati wanarudi nyumbani wakati wa usiku walikuwa wanaimba kuanzia mbali, ili mkewe asikie, na kama kuna kitu, atoe....Siku hizi tunawasaka wagoni wetu...the world is going around
Kweli aiseNimekumbuka babu yangu akiwa anarud kwa mbali anapiga mbalimluzi kwa style yake bac wote mnajua babu anakuja.Mhh siku hizi unakuja ki mnyato zaid, kufaminiani ngumu na inajitaj ujasir sana km unampendamwenzako, vinginevyo unaweza fika eneo la tukio ukiwaumezimia, ukizinduka upo hosp. Acha kabisa hii!
 
kama mwenzio alisha ku chosha ni rahisi mno..
unatoa tu talaka basi,na kuwatangazia wote why umemuacha..

but kama unampenda kweli,ni tatizo kubwa

The Boss hii ni kweli kabisa,
wapo watu ambao wanatamani wawafumanie wapenzi wao,
ili waweze kujustify kuachana kwao......................
 
Duuuhhhhh
sipendi kutabiri vitu kama hivi
Hakija tokea, na kinaweza kisitokee
Kikitokea ndio nta fahamu nini cha kufanya ..
Asanteeni
 
What if kaliwa na ndomu?

sasa hapo inatagemea na maelezo yake hadi akafikia maamuzi hayo ya kutoa uroda, je chanzo ni mimi au tabia yake! majibu nikiridhika nitamsamehe au yaweza kuwa Mwisho wa mahusiano..................... akipigwa kavu inauma
 
Kwa kweli hapo ni wewe mwenyewe kuna wengine wakisha fumania hawawezi kabisa kurudisha penzi kwa wenza wao, angalia faida na hasara yake ya kuachana ukiona kipi kina uzito chukua hicho, kuna mwingine kuachana na mke/mume mwizi ni faida kwake, yaani hawezi kabisa kusamehe, kuliko kuishi maisha ya namna hiyo ni bora utafute ustaarabu wako
 
Huwezi kupata jibu sahihi mpaka yakukute ndo utaona majibu yake unafirkiri unaweza toa hapa la hasha sababu nasema kuwa maana reaction utayokuwa nayo ndo itakuongoza kutoa uamuzi

Mkuu hiyo kitu haina kanuni unaweza ukajiandaa ikiwa ni pamoja na kumpa kibano mgoni na kumbe wewe ndio ukapewa kibano lol!i

Kama inawezekana, sijahiti usiende kumfimania mke/mume wako! Ukimkuta live, HUTAMSAMEHE!

WAZEE wa zamani waliyajua hayo. Ndio maana wakati wanarudi nyumbani wakati wa usiku walikuwa wanaimba kuanzia mbali, ili mkewe asikie, na kama kuna kitu, atoe....Siku hizi tunawasaka wagoni wetu...the world is going around i

Watu tofauti maamuzi tofauti, (hakuna kanuni), lakini for sure "Things will Never Be the Same Again" .....

Fumanizi alina maandalizi. Waweza kujiandaa kutoa kichapo ukafika eneo la tukio ukaangua kilio badala ya kutembeza kipigo. Kwa hiyo subiri ya kupate solution utaipata on the sport.

kama mwenzio alisha ku chosha ni rahisi mno..
unatoa tu talaka basi,na kuwatangazia wote why umemuacha..
but kama unampenda kweli,ni tatizo kubwa

Duuuhhhhh
sipendi kutabiri vitu kama hivi
Hakija tokea, na kinaweza kisitokee
Kikitokea ndio nta fahamu nini cha kufanya ..
Asanteeni

Kwa kweli hapo ni wewe mwenyewe kuna wengine wakisha fumania hawawezi kabisa kurudisha penzi kwa wenza wao, angalia faida na hasara yake ya kuachana ukiona kipi kina uzito chukua hicho, kuna mwingine kuachana na mke/mume mwizi ni faida kwake, yaani hawezi kabisa kusamehe, kuliko kuishi maisha ya namna hiyo ni bora utafute ustaarabu wako

:israel: :israel: :happy:
 
Katika jambo kama hili,kukurupuka hakutakiwi,japokuwa kutokana na hisia wengi hufanya hivyo!Inatakiwa umuulize kwa upendo ili akuambie sababu ya yeye kufanya hivyo unaweza kugundua kuwa wewe ndo umesababisha ili ujirekebishe,hata ukimfukuza utakuwa haujatibu ugonjwa,kama wewe ni tatizo ukipata mwingine atakucheat tu!
 
hivi mtu unasababishaje mwenzio aku cheat umemtuma?
 
Eiyer my brother mbona najua una hasira saana, hayo maneno ya kweli???
 
Dada hasira zina mahali pake,hapo sio mahali pake,ukikurupuka unaharibu mambo yote!
 
Sipendi kuwazia mambo ya namna hiyo, kila mmoja uamuzi atakaouchukua ndo sahihi kwake. Unaweza mfumania lakini ukipiga konde nyendo zako ... duh! unamsamehe au humsamehe. Wengine huchukua uamuzi wa kuua mgoni na kutokomea, wengine hufukuza na kufanya replacement, wengine huwaadabisha wagoni kwa adhabu kali ya kimwili. Mimi NAOMBA MUNGU ISIJENITOKEA MAANA NINAVYOMPENDA WANGU . . . . .DUH! SIJUI ITAKUWA VIPI.
Jamaa alimshuhudia mkewe amekunjwa na rafiki yake, badala ya kufanya uamuzi wa kiungwana alililia na kutamka maneno haya "XXXXXX, UNAMKUNJA HIVI MKE WANGU BILA HURUMA?"
 
hivi mtu unasababishaje mwenzio aku cheat umemtuma?
Kama ujitumi katika mambo mbalimbali, zaidi kwenye sita kwa sita ni mgogoro mkubwa. Sometimes maumbile yanaweza sababisha. Mfano wwanawake wanapenda kuzibwa na kuchokonolewa ndani, kama mtambo ni mwembamba na mfupi ni kama unamwekea kidole.
 
Na wewe utajuaje kama kaliwa kavu? ina maana utakumbuka hata kuuliza wife/husband umetumia protections??
Huwa wanauliza, mtaani kwetu kuna mshkaji anaitwa "VIWILI" as a nick name, kisa alimfumania mkewe alipofika home akamtangazia mfueni ya kufa mtu akiwa anamuuliza maswali kibao, mojawapo ya maswali ni "amekupiga vingapi?" jibu toka kwa wife wake VIWILI.
 
Back
Top Bottom