Ni ipi hatma ya benki zilizofungiwa kwa sababu ya kuwa chini ya kiwango?

Huwezi rudishiwa pesa hiyo we andaa matanga tu.

Naata mkilipwa haiwez zidi 1.5m per acc kwa mujibu wa sheria.
Hakuna sheria ya hivyo..hiyo 1.5m ni maximum upfront kwa ac zote..then baadae malipo yanaendelea..kinachotea vaadae watu hawalipwi ni usanii tuu na uswahili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom