Ni ipi faida ya dharau?

Kwa mwanamke utaepuka kutongozwa na unaweza kuzeeka msimbe si unaona kina Diva wanaosema hawolewi na wanaume wasio na pesa wanavyo vuta age alaf wana wanamkwepa yule lazma awe na sex toy ndan maana wanaume tunaogopa sana wanawake wenye dharau
Kwahiyo faida anayopata ni kuokoa hela ya kununua P2/condom anafanyia mambo mengine
 
Naona urudie kuandika vizuri , Kuna mahali huwezi kukubali kufanyiwa dharau,Unapokataa dharau unaacha kila jambo mnaloshirikiana na wale wanaokuletea hizo dharau, unapokataa sasa watasema ni dharau wakati wewe hutaki tu mazoea yasiyokua ya msingi na ukiendelea na msimamo huo watasema una roho mbaya.
Kwel kbs mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mwanamke utaepuka kutongozwa na unaweza kuzeeka msimbe si unaona kina Diva wanaosema hawolewi na wanaume wasio na pesa wanavyo vuta age alaf wana wanamkwepa yule lazma awe na sex toy ndan maana wanaume tunaogopa sana wanawake wenye dharau
Kwahiyo faida anayopata ni kuokoa hela ya kununua P2/condom anafanyia mambo mengine
Na vp kwa me?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu msamiati wa dharau unapatikana huku africa tu, mtu akudharau au asikudharau wewe unapungukiwa nini?
Yote ni matokeo ya umaskini, ukiwa huna kitu unahisi kila mtu anakudharau kumbe watu wapo busy na mambo yao.
 
Back
Top Bottom