Circle ya maisha ni ya ajabu sana,unayemuona leo fala na kumkataa kwa kumletea dharau asikuzoee kesho unaweza kukwama ikawa yeye ndiye solution.kuna ma-phaller hawata-practice u-phaller wao kwako..!!
Simple as that..!!
Kumbe ndo ilivyo!!kuna ma-phaller hawata-practice u-phaller wao kwako..!!
Simple as that..!!
hahahahhahahahahah kuna jamaa mmoja hivi anadharau kiumbwa, ila hana kitu,kwa sasa ana Fanya kazi ambayo alikua anaidharau sana
Kwel kbs mkuuCircle ya maisha ni ya ajabu sana,unayemuona leo fala na kumkataa kwa kumletea dharau asikuzoee kesho unaweza kukwama ikawa yeye ndiye solution.
Inshort,dharau haijawahi kuwa na faida kwa binadamu timamu anayeishi unless anayedharauliwa awe amekufa.
Ngoja na mim nianze dharaufaida zake ni hizi. hapa:-
*kupunguza mazoea kama watu wajinga,wanaokotafuta,wambeya,wapuuzi.
*inaboresha sana kujiamini na kujikubali kwa mambo ambayo hayana msingi.
*utakuwa una dili sana mambo makubwa kuliko madogo
faida zake ni hizi. hapa:-
*kupunguza mazoea kama watu wajinga,wanaokotafuta,wambeya,wapuuzi.
*inaboresha sana kujiamini na kujikubali kwa mambo ambayo hayana msingi.
*utakuwa una dili sana mambo makubwa kuliko madogo
Kudharau watu bado hakukufanyi wewe kuwa nje ya dunia yao as long as unaishi ktk jamii hao watu utakutana nao tu na still unawahitaji,Bahakresa leo choo chake kikileta hitilafu atamtafuta mwenye kazi yake ambaye ndiye tunaeweza kusema anafanya kazi mbaya duniani hamna ili aje amsaidie mazingira yawe sawa.
Kwa hali yetu sisi wa kawaida tufanye hivi:assume wewe una gari yako,ili usizoeane na hao uliowataja hapo juu unaamua kufunga vioo yani no salam no nini ukipita umepita siku usiku hapo hapo mtaani kwao unfortunately gari yako ikatumbukia kwenye mtaro unategemea utapiga simu kwa hao rafiki zako wale mnaokaa kuongea madili makubwa makubwa waje kuitoa?au utapigia wale unaowaona wewe smart waje wakutoe eti!!!
Hiyo #2 umesema inaongeza kujiamini ndipo utakapojikuta ni bonge la mpumbavu pale utakapowaona wale wale unaowaona wajinga wakija tena wakiwa normal tu kutaka kukusaidia,sijui utazidi kuwa mkaidi na hiyo aibu utakayoiona hutokaa umdharau mtu hata kama chizi.
hivi ushakuta au kipendekeza kwa elon musk
View attachment 1971394
basi kwa nini ni tajiri na mwenye mafanikio.
ili swala alishasema ukiweka dharau unaweza kufika.ukiondoa utaendeshwa kila kitu.
huyu jamaa na tumia protocal zake sana.
ndio maana mnalalamika maisha ya watu.
we subiri ukose pesa alafu uone kwa nini dharau inatoka wapi
"Dharau"Salaam wanaJF
Inadaiwa ya kuwa kila kitu kina faida na hasara, je ni ipi faida ya dharau?
Then watu wasende shule ili kumuiga Billgate nao ipo siku watakuwa kama yeye,huwezi ku-cop na tabia za kizungu wao wakifiwa wanakodi wazikaji wewe ukifiwa unategemea jamii ikusaidie ishi na watu maisha ni zaidi ya pesa kingine ninyi mnaoabudu sana dharau unakuta pesa zenyewe hamna mnaunga unga tu kimaisha ni weupe sana.
Mimi ninazo nyingi sana nikupe ngapi!!?
life ya dunia kiufupi ndio watu tunashindwa kuelewa.leo kuna uzi jamaa hana jisikia aibu kwa sababu ya degree kisa kuuza maji temeke.
unajua nini ! yeye ajaweka dharau ila kakubali dharau