Ni ipi dawa nzuri ya kutuliza maumivu makali ya jino. (gego) kabla ya kung'oa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni ipi dawa nzuri ya kutuliza maumivu makali ya jino. (gego) kabla ya kung'oa?

Discussion in 'JF Doctor' started by Jumakidogo, Apr 20, 2012.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Wadau, ni ipi inaweza kuwa dawa nzuri ya kutuliza maumivu makali ya jino kabla ya kuling'oa? Waswahili wanasema dawa ya jino ni kulitoa. Ikiwa unatafuta nafasi nzuri ya kulitoa, dawa ipi inafaa kutuliza maumivu yake?
   
 2. h

  haki na usawa JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 476
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tumia mcharaka na kama huujui uliza wenyeji wa pwani wanapenda kuutumia kujengea maana ni mgumu na hauliwi na mchwa haraka

  Chukua kiini cha mti (kiini cha ndani ya mti) huwa cheusi kichemshe mpaka maje yawe meusi /kwa muda dakika 20-30 na tumia kupigia mswaki asubuhi najion kwa muda wa wiki moja
  Meno yatapona na hutakuwa na tatizo tena la meno na hata ukifikia umri wa kung'oka meno yote ( miaka 120-130) kama ukijaliwa kufika yatatoka bila kuuma
   
Loading...