salaam wakuu,
NI IPI COUPLE NZURI KWAKO?
1. Couple ya mwenye wivu VS mwenye wivu.
2. Couple ya mwenye wivu VS asie na wivu.
3. Couple ya asie na wivu VS asie wivu.
Katika mahusiano kila mtu ana parfect couple yake ambayo humfanya aenjoy uumbaji wa mungu.
Je, kwa mujibu wa list hii ni ipi parfect couple yako? Je, uingiapo katika mahusiao na mtu asie wa aina yako adha gani hupitia? na je, mahusiano hayo hudumu kwa muda gani?
Binafsi, naangukia 1 sababu nina wivu sana, ninapokutana na asie wivu mambo huenda kombo na mahusiano huvunjika mapema sana.