Ni ipi channel yako bora kwenye king'amuzi cha DStv, Azam, Startimes, Zuku na Continental?

Dec 31, 2018
95
53
Habari wakuu!

Kuna zaidi ya channels 100 karibia katika kila King'amuzi

Kwangu mimi mtumiaji wa DStv japo tunakosa uhondo wa channel za nyumbani lakini moja kati ya channel zangu Bora ni Maisha Magic East & Maisha Magic Bongo. Ukiondoa na chanel za michezo, basi utanikuta kwenye channel za movies labda kwakuwa mimi napenda sana movies.

Hebu tushirikishane, ni channel gani unaikubali na kwanini?
 
Back
Top Bottom