mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,663
- 18,036
ANGALIZO: KAMA HAUJAOA AU KUOLEWA PITA KIMYA KIMYA TU, HAIKUHUSU!!
Upotofu huu umechagizwa na watu kutaka kupiga pesa!! Wanaume wanaaminishwa kuwa hawana nguvu za kiume kwa kuwa wanafika kileleni haraka (ndani ya dakika 5 goli tayari). Kwa hiyo wanahitaji dawa au virutubisho!! Hii ni biashara kubwa mitandaoni!!
Ukweli ni kuwa kufika kileleni haraka kwa mwanaume si kupungukiwa na nguvu za kiume hata kidogo, bali ana nguvu nyingi na hajui (au haoni sababu) namna ya kujizuia ili kuvuta mwendo!! Kukosa nguvu za kiume ni uume kushindwa kusimama barabara katika mazingira ambayo ulipaswa kusimama. Pia kukosa nguvu za kiume ni uume kushindwa kuendelea kusimama vizuri hata kabla ya kumwaga!! Pia kukosa nguvu za kiume ni uume kushindwa kabisa kusimama baada ya tendo la kwanza hata baada ya kupumzika kwa dakika zaidi ya 45!! (Ni kawaida kwa uume kushindwa kusimama baada ya mshindo wa kwanza hadi upumzike kwa dakika angalau 20 hadi 45, japo kuna baadhi wachache wako tofauti kidogo na huhitaji pumziko la dakika 5-10).
Lakini pia mwanaume wa miaka zaidi ya 45 hawezi kufanya tendo kila siku na huo si upungufu wa nguvu za kiume, ni kawaida kwa umri huo na asipewe presha ya kutafuta madawa! Kwake mara 2 kwa wiki ni kawaida na wazee zaidi ya miaka 60 mara moja kwa wiki bado ni afya au hata mara moja ,wa wiki mbili!! Kama ambavyo haitegemewi mzee kupewa dawa ili aweze kukimbia kama kijana, hali kadhalika huwezi kutegemea mzee wa miaka 60+ eti apewe "virutubisho" halafu eti apige mechi chumbani kama enzi za ujana wake!!
Kwa upande wa pili, mwanamke kuchelewa kufika kileleni ni upungufu wa nguvu za kike!! Wengi wamebaki kulaumu waume zao kuwa hawana nguvu za kiume eti kwa kuwa tu waume zao hufika mapema, japo wanasimamisha kama jiwe!! Wanawake hao badala ya kufanya bidii na wao wafike mapema kileleni wanataka eti "wafikishwe"!! Hakuna cha kufikishana bali kila mmoja ajitahidi kufika huku akimsaidia mwenzake!! Usipofika ujilaumu mwenyewe!! Kuna wanawake wengi tu hufika kileleni ndani ya dakika 5 kama wanaume!! Hawa hujiandaa kisaikolojia muda mrefu kabla ya tukio na hujituma na hawasubiri "kufikishwa" na waume zao!!
Kwa hiyo tangu leo wanawake mnaochelewa kufika jueni mna upungufu wa nguvu za kike!! Acheni kuwalaumu waume zenu kwa uzembe wenu!! Mke akili yote iko kwenye marejesho ya vikoba hadi anaingia kitandani asitegemee kufika kwenye upepo mwanana unaopatikana kileleni!! LEO NIMEWATOLEA UVIVU!!
ANGALIZO: Kama hujaolewa au haujaoa uzi huu haukuhusu!