Ni ili litimie lile neno walilonena UVCCM kwamba.....

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Kuna tetesi kwamba mchakamchaka wote uliokuwa unaendelea huko dodoma ni kutimiza ile kauli iliyonenwa na umoja wa vijana wa CCM mkoa wa pwani ya kwamba raisi ajaye anafahamika na mkubwa na kamwe hawezi kutoka kuleee kwa mamvi!Ubaguzi jamani huu sijui utatufikisha wapi.2subiri tuone!
 
Mleta mada una ukurutu kwenye ubongo,katibiwe kwanza na chanjo ya mbung'o,ili akili yako ifikirie tena.
 
umbea kama mwanamke!!
 
Mleta mada una ukurutu kwenye ubongo,katibiwe kwanza na chanjo ya mbung'o,ili akili yako ifikirie tena.

jitathmini kwanza kabla ya kuandika hapa.kwan ni uwongo haya maneno hayakusemwa na VCCM Mkoa wa pwani?hujisomi wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom