Ni Idara zipi za Serikali zinazoongoza kwa rushwa licha ya juhudi nyingi za Rais na wasaidizi wake?

Kamgomoli

JF-Expert Member
May 3, 2018
1,865
3,798
Pamoja na tumbua tumbua isiyoisha bado kuna Mabaharia wasioogopa chochote na wanaendelea kupiga mpunga km kawaaaa. Hebu tubainishe hapa idara na vitengo vya kisekta ambavyo ni sugu kwa rushwa yaani hawasikii,hawaelewi wala kuogopa mkwala wa namba moja.
 
Idara ya afya,mahakama na polisi usalama barabarani,bila kusahau polisi kitengo cha upelelezi.
 
Ni zile idara za huduma maalumu/muhimu kama ..
Polisi..
TRA..
Uhamiaje..
Mambo ya ndani..
Hizi ndo rushwa haitokaa iishe
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom