Ni Hoja ya Kimantiki na kiakili kufikiri kwamba Mungu hafi na wakati huo huo kumkataa mtu uliyemsema hakufa kwamba sio Mungu?

Pia kuacha huyo mwanadamu aliyezaliwa miaka 500 baada ya Kristo aliyepinga uungu wa Yesu, ....
pia yupo mwanadamu mwingine aliyezaliwa 1827(Ellen Gould White) na kuanzisha dini yake ya Seventh day Adventist alipinga Utatu Mtakatifu na Uungu wa Yesu...

Naendelea kufyonza
Mbona watufatilia sana
 
Wewe
 
naomba nikusaidie kwa njia hii labda utanielewa.
Mungu ni Roho na sio mwili hicho unachokiona wewe kimekufa ni mwili sio Roho.na tofauti ya Waislam na wakristo

mkuu kabla cjakujibu hili unatakiwa weww binafs ujue na hapo ndio tofauti yetu na waislam.
Mungu ni Roho na wanaomwabudu inawapasa kumwabudu katika roho na kweli sio kuwaonyesha watu mahudhurio yako ya ibada.
pili tukija kwenye suala lako ni hiv.
Mungu anaweza akaamua akawa binadam na akaamua huu mwili ufe lakin unachotakiwa kujua ni kuwa Roho haifi Mungu sio mwili ni Roho so kuja kwetu katika umbile la kibinadam haimaanish ana mwanzo so na mwisho pia. ukisoma Biblia inasema usmwite Yesu ni Mungu kama huna Roho Mtakatifu ndan yako. na wala huu mwili na akili yake haziwez kugundua hilo ila Roho Akikaa ndan yako atakujulisha hilo so mi siwez kukulaumu kwa kutokuamin hilo coz hilo kibinadam haliwezekan ila kwa Mungu. ukisoma Biblia inasema wakat ule wa manabii wana wa manabii ndio pekee waliofanikiwa kumjua Elisha kuwa ile Roho ya eliya nabii ilikuwa juu yake so hiv vitu mzee ni Roho tu atakufunulia. Yesu alimwambia Petro mwili na nyama havikukufunulia haya ila baba yangu aliyeko mbinguni. tena anasema haiwezekan kumpendeza Mungu pasipo na huyo Roho mtakatifu. so ukijua nguvu ya Roho ndio utajua ulimwengu mkamilifu unavyofanya kaz. biblia inasema huyo Roho akija atatujulisha kweli yote. so njoo kwa Yesu bro ukimjua utapata raha na aman ipitago faham zote.
Tofautisha kuelewa/kujua na kuamini,wewe unaamini hivyo unavyo amini na si kwamba unaelewa hicho unachokiamini na ndiyo maana kuelezea inakuwa shida maana ni jambo ambalo halieleweke.

Haya mambo ya utatu,sijui umungu wa Yesu na Mungu kufa,ni mambo ambayo watu wanayaamini sawa,ila kwenye kueleweka kiukweli hayaeleweki.

Na ndio kinachoendelea hapa,sasa labda huyo Roho mtakatifu anifanye niamini hayo mambo kama unavyoamini wewe na si kuyaelewa kwa sababu hadi sasa hakuna aliyeweza kuyaeleza na kueleweka maana kama watu wanashindwa kuelezea ni wazi hakuna anayeelewa.

Kuna mambo mengi tu tunayaamini lakini hatukupewa ufahamu wa kuyaelewa na hilo sio tatizo,ila kutaka kulazimisha kuwa utatu au suala la Mungu linaeleweka sijui kwa msaada wa Roho mtakatifu ni kuongopeana maana hakuna dalili hiyo.

Kwanza toka nianze kujadili hili suala nimeona maelezo yenye kutofauti ni wazi kila mmoja anatumia mawazo binafsi kuelezea hili jambo na ndio maana anatumika Roho mtakatifu kama kinga.

Mara Roho haifi lakini unakufa mwili mara kufa ni mwili kutengana na Roho yani haieleweki.
 
Akili za Mungu haichunguziki isaya 40:28 Mawazo ya mwanadu si ya Mungu isaya 55:8-10 Kwa kuwa unajifanya una akili Mungu atakuacha ufuate akili zako Rumi 1:28 kuna elimu inayo jiinua kuhusu Mungu inateka fikra 2Wakorinth 10:3-6 Mpumbavu asema moyoni hakuna Mungu
 
aya hii hapa View attachment 953385View attachment 953388 ndipo alipo sema huyu View attachment 953393 meza huo wembe dogo
Huyu kijana uwa anachekesha sana, sasa wahab ndio mtume? ngoja nikupe maneno yaliojaa hekima nyingi na kupinga ubaguzi kutoka kwa mtume sio huyo kichaa mwenzio wahab

Abu Nadrah Reported : The Messenger of Allah (PBHU) , said during the middle of the day at the end of the pilgrimage ," O people, your Lord is one and your Father Adam is one, There is no virtue of an ARAB over a FOREIGNER nor a FOREIGNER over an ARAB , and Neither WHITE skin over BLACK skin nor BLACK skin over WHITE skin , EXCEPT by RIGHTEOUS . Have I not delivered the message ?"They said " The messenger of Allah has delivered the message".
Source; Musnad Ahmad 22978

Ahahahahaahahaahaha utapata wapi maneno clear yasiyopinda pinda kama haya ya mtume, hivyo mbora kwa Mungu ni mcha mungu , acha kutuletea porojo za wahab sisi
 
Electricity,radio waves,colour,infrareds,etc are physical quantities can be measured 100%....Kuna physical quantities chungu nzima ambazo hazionekani kwa macho ila zinapimika..sasa sijui unazichanganya na uonekanaji wa mungu wenu huyo kivipi?

Kupimika maana yake effects zake ni sehemu ya maisha. Je,effects za uwepo Wa Mungu huzioni?
 
Kupimika maana yake effects zake ni sehemu ya maisha. Je,effects za uwepo Wa Mungu huzioni?

Acha kua mzembe...physical quantities ni physical quantities,definition ipo clear kwenye physics!

Mungu ana physical au hata emotional effects gani ndugu yangu?

Taja hizo effects kama hutaonekana kichaa fresh!

Twende kazi
 
Nisikilize vizuri hapa Tunajadili uelewa wako juu ya maandiko , hatuwezi kubali kilaza kama wewe utuletee tafsiri za uchochoroni tukukubalie lazima tukuhoji tujue akili yako inaelewa nini ? Quran imetuonya juu ya watu kama wewe ambao mnaweza kututoa katika uislamu wetu

QURAN 3:100
";Enyi mlioamini ! mkiwatii baadhi ya wale waliopewa kitabu WATAKURUDISHENI kuwa MAKAFIRI baada ya uislamu wenu";

lazima tukuhoji kuwa mpole kijana

wee tayari ni kafir innsui umesha pigwa muhuri usione tu-chàt na wewe hivyo huna HAQI tena kusikilizwa tunakutumia kama ubao wa kufundishia wengine ilaha haqi yako unayo idai ni kurudishwe kwa shehetan akupopoe MAWE na kukutia adabu full stop
 
TUANZE KWANZA KWA KUKUBALIANA

JE MUNGU NI NINI?

THEN TUTAONA KAMA YUPO AU HAYUPO NA YUPO WAPI NA HAYUPO WAPI NA KWA WAKATI GANI
 
TUANZE KWANZA KWA KUKUBALIANA

JE MUNGU NI NINI?

THEN TUTAONA KAMA YUPO AU HAYUPO NA YUPO WAPI NA HAYUPO WAPI NA KWA WAKATI GANI

Mungu is a fictional character created by human being's imaginations...

In this case, human created God from nothing literally!

There are milions and milions of Gods created by human beings....

The funny thing is, no human being has ever gave any evidence of their actual existence whatsoever!

There is no God whatsover!
 
Usomi wao na uchamungu wao ni kwasababu wakiona haki wanafuata , lakini wajinga kama wewe mkiona haki mnaipiga mawe ahhhahhaahaaahhha (Quran 5:83)

QURAN 3:19
";Bila shaka dini ya HAKI mbele ya Mwenyezi Mungu ni uislamu";

Wasomi waliotajwa hapo wakishajua kuwa uislamu ni haki mara moja wanafuata , labda tukuulize wewe unafaata ?

Sioni walipo ifuata HAQI ya baba kasimu ilaha bado wapo MAKANISANI na kila siku wanashahadia HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PROF PAULO NI MTUME WAKE Hii NDIO HAQI WALIO IFUATA NA muhammad AKAWAPA DARJA LA USOMI NA UCHAMUNGU nyinyi HAQI mnaiona lakini mnatakaabari na kuendelea kukamuana ngama, kupulizwa makalio na shetani miskitini kila siku mara.5
IMG_20181115_142456_340.jpg
kupiga kata.3 mkivutuana na
IMG_20180530_224415_217.jpg
....nk nk nk nk
 
Sioni walipo ifuata HAQI ya baba kasimu ilaha bado wapo MAKANISANI na kila siku wanashahadia HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PROF PAULO NI MTUME WAKE Hii NDIO HAQI WALIO IFUATA NA muhammad AKAWAPA DARJA LA USOMI NA UCHAMUNGU nyinyi HAQI mnaiona lakini mnatakaabari na kuendelea kukamuana ngama, kupulizwa makalio na shetani miskitini kila siku mara.5 View attachment 954656 kupiga kata.3 mkivutuana na View attachment 954662....nk nk nk nk
Mbona wengi tayari wameshamuamini mtume na wameachana na upunguani wa Mungu mtu, unashangaa ushuzi badala ya kushangaa kile unachokiamini kuwa Mungu alibakishwa na kakaptula anapigwa na baridi
 
wee tayari ni kafir innsui umesha pigwa muhuri usione tu-chàt na wewe hivyo huna HAQI tena kusikilizwa tunakutumia kama ubao wa kufundishia wengine ilaha haqi yako unayo idai ni kurudishwe kwa shehetan akupopoe MAWE na kukutia adabu full stop
Tutaendelea kukuweka sawa mpaka adabu itakapo kupata
 
Usomi wao na uchamungu wao ni kwasababu wakiona haki wanafuata , lakini wajinga kama wewe mkiona haki mnaipiga mawe ahhhahhaahaaahhha (Quran 5:83)

QURAN 3:19
";Bila shaka dini ya HAKI mbele ya Mwenyezi Mungu ni uislamu";

Wasomi waliotajwa hapo wakishajua kuwa uislamu ni haki mara moja wanafuata , labda tukuulize wewe unafaata ?

Kulana mivutu, kukamuana ngama ndio deen ya HAQI mbele ya allah UMEPATIA ona HAQI Mbele ya MWENYEZI MUNGU
IMG_20181203_190954_305.jpg
 
Mbona wengi tayari wameshamuamini mtume na wameachana na upunguani wa Mungu mtu, unashangaa ushuzi badala ya kushangaa kile unachokiamini kuwa Mungu alibakishwa na kakaptula anapigwa na baridi
wee MBONA una akili ndogo hivi MTU akimfuata baba kasim bado ataitwa Mkristo tayari atajiita muislamu aya inasema WALE WASEMAO SISI NI WAKRISTO, SISI NI WAKRISTO NDIO WASOMI NA WACHAMUNGU Jiulize sasa kafir wewe jee WASEMAO SISI Wakristo wapo au hawapo kama wapo hao ndio aya inawahusu na si mwingine YEYOTE
 
Sasa akisha ifata haki si anakuwa MUISLAM , lakini kwanini amekuwa MUISLAM ? Kwa sababu alikuwa mkristo msomi ndio maana alipoona haki akaifuta , kinyume chake wale WAKRISTO vilaza hata waone haki awaifuati ndio wewe kilaza mgeni kila siku unaambiwa Mungu hawezi kunya lakini masikini uelewi
 
bla bla blaaàâ haya tuwekee ayat humu allah amesema wale WASEMAO sisi ni waisilamu ni WASOMI NA WACHAMUNGU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom