Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
NI HERI WAKURUGENZI KULIKO MAZINGAOMBWE YA Ma DC na Ma RC.
Sioni haja ya kuwa na Wakuu WA Wilaya na Wakuu WA Mikoa, kama mambo yenyewe ndo haya, eti Mara huyu kajitwisha li ndoo kichwani, Mara huyu kabeba jiwe kichwani, Mara huyu kabeba tofali n.k. Hivi mnafikiri wananchi ni wajinga?
Hata mtoto WA Darasa la 5 anaweza kuwashangaa, mnafikiri kufanya hivyo ndo mnaonekana mnafanya kazi? Mnapoteza muda wenu bure. Mambo hayo alifanya Kinana kwakuwa alikuwa upande WA chama na hizo tunaita propaganda za kiushawishi kisiasa.
Ninyi mnafanya Siasa kwenye mambo mhimu, na wala Hamna chochote cha maana mnachofanya, zaidi ya bomoa bomoa, fungulia watu kesi, futia hati mashamba, karipia watumishi, OK. Huenda ndio mfumo wenu mpya WA miujiza kutoka kuzimu.
Wakurugenzi wanafanya kazi zinaonekana, sema tu wao hawana promo na mbwembwe kama zenu za kujitafutia umaarufu.
Mambo mengine tuna lazimisha tu, yaani sisi tuna waangalia tu kwa kuwa mmepewa dhamana, lakini kiuhalisia mnafanya ndivyo sivyo, mpaka Rais anaamua kuingilia kati kila jambo mnalofanya kama lile la bomoa bomoa.
Basi nyinyi mnalingia Polisi na hao wakurugenzi walingie nini? Mgambo au? Maana mmekuwa na vitisho kweli kweli kwa watendaji wenu. Sisi tuna wacheck tu mbwembwe zenu.
Lakini ninyi nasikia ni Wasomi na mmepewa dhamana kama wasomi, kumbe Tabia za wasomi ndio hizo, Rudi Rais Nyerere, Rudi Rais Mwinyi na Rais Mkapa rudi mtuoneshe utofauti WA Msomi WA Darasani na Msomi WA kujitambua kupitia elimu ya uraia.
Mimi naona kama mnaichonganisha SERIKALI yenu na wananchi bila kujijua. Je, mnataka kujenga Nchi au kubomoa Nchi. Maana ili tujue kama kiongozi amefanikiwa tunaangalia mambo mawili 1. Uthamani kwa wilaya yake au MKOA wake kwa watu wake 2. Uzalendo kwa watu wake. Yaani kwa hizo sifa mbili
Sijui wenzetu mko wapi?, Ndio maana hata wapinzani wanapata nguvu pamoja na kubana mikutano.
Tatizo mnafanya kazi ili Rais awaone mnafanya kazi, sidhani kama Rais anahitaji kuwaona, zaidi kiongozi unatakiwa kuwajibika kikazi kwa kujua jukumu lako ni nini?
Eendeleeni kunichongea, Mimi na wapa ukweli tu hata mkinichukia na kunibambika kesi. Mnawekea vikwazo MTU anayejitambua mtauumbuka ninyi. Maana Kusema uongo ni rahisi
Kuufunika uongo ni gharama
Deogratius Kisandu.
28 Desemba 2016.