CCM yaibomoa CHADEMA jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Screenshot from 2017-07-26 12-26-02.png

Tuwe wapole na tusubiri......

=======
Pole pole akiwa Mkoani Kilimanjaro anasema yafuatayo.

Kuna viongozi kadhaa kutoka Upinzani wameikubali kazi na kasi ya Rais Magufuli. Lazima tuwapokee kwa heshima kubwa.

Watu hawa wametumia Uhuru na haki yao ya Kidemokrasia na kuamua kuondoka katika vyama vyao na kujiunga na CCM. Ni watu wazito.

Wafuatao ni Madiwani wamejiondoa CHADEMA na kumuunga mkono Rais Magufuli(Wamehamia CCM).

1- Diwani wa Kata ya Machame Magharibi.
Ndugu, Goodluck Kimaro ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Wilaya ya Hai(CHADEMA). Hivyo nimeamua kumuunga mkono Rais Magufuli.

2- Diwani wa Kata ya Weruweru,

3- Diwani wa Kata ya Mnadani Wilaya ya Hai, Ndugu Everist Peter Kimati amesema kuwa japokuwa walipata ushindi mkubwa 2015 lakini ndani ya chama kulitokea mpasuko uliosababishwa na uhujuma ndani ya uchaguzi wa ndani ya chama.

Katibu wa Itikadi na Uendezi wa CCM, Ndugu Humphrey Polepole amesisitiza kuwa kuna lundo la viongozi wa Uponzani wanaotaka kujiunga na CCM.
 
Back
Top Bottom