Uchaguzi 2020 Ni heri UKAWA wa CUF na CHADEMA kuliko huu wa ACT-Wazalendo na CHADEMA, ndio tumewavuruga Wapiga Kura wetu

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Japo ulikuwa una mapungufu yake lakini ni heri ukawa wa CUF na CHADEMA waliungana pamoja wakashirikiana katika kuwanadi wagombea wa Udiwani, Ubunge na Uraisi na kutoa elimu kwa wapiga kura lakini pia baadhi ya majimbo na kata walikubaliana kujitoa ili nani apiteee

Ila huu ukawa wa muungano wa ACT-Wazalendo na CHADEMA ni magumashi kila chama kimesimamisha mgombea wake kinapiga kampeni kivyake juzi juzi lissu wakati akiwa kigoma na tabora alipatq kigugumizi ni mgombea wa chama gani augwe mkono
 
Zitto alifukuzwa saccos kisa nafasi ya mwenyekiti, kaunda saccos yake mnajipendekeza kwani usaliti wake umekwisha?. Lazima mpate funzo Oct 28,ili mjue watanzania sio majinga.
 
Back
Top Bottom