Kuoa single mother inaweza leta Shida katika ndoa yako, au inaweza pia kuleta amani na furaha.
Unataka kuoa single mother lazima ujue mtoto alipata kwenye mazingira gani na yeye alipata katika umri gani huyo mtoto.

Nasema hivyo kwa sababu , kupata mtoto kabla ya ndoa Ni matokeo ya kufanya UZINZI.
Na mtu anapotaka kufanya uzizi na mtu ambaye hakuusu lazima uwe unaangali yafuatayo.
1.Kupata ujauzito au kusababisha ujauzito.
2.kuna uwezekana wa kupata magojwa Kama Ukimwi , Homa ya ini nk. So lazima uwe makini katika hayo.

Katika umri lazima ujue katika umri gani Kama under 20 , yani 20 kushuka chini inawezekana japo sio asilimia 100 kuwa alikuwa Ni mchezo tuu ya kimapenzi na Wenda hakumpenda huyo mwanaume.
Ila kwa wale kuanzia 20 kwenda juu hasa wale walio anzia 23 na kuendelea , hanakua wanajitambua kabisa na anaelewa Matokeo ya uzinzi bila Kinga Nini kitafuata. Kwa kawaida sexy na love kwa mwanamke vinausiaana Sana , mwanamke au msichana hawezi kufanya sexy na mwanaume ambaye hampendi , ukiachana na wale wanaojiuza. Tofauti na mwanaume ambaye anaweza kufanya mapenzi na msichana ambaye hata hampendi.
Kama alipata ujauzito kuanzia 23 kwenda juu Basi huyo mwanaume alimpenda Tena Sana Sana.

Na ikitokea akasema Ni Bahati mbaya Basi Hilo sio kweli na Ni muhongo na hajitambui na kuto jali afya yake kwa kua akuangalia siku za Atari kwa kufuata kalenda yake na hata alikuwa hatalini kupata magojwa , Bro ukioa wa namna hi utaumia anaweza hata akakuletea magojwa ndani ya nyumba usipokuwa makini.
 
Kwa nini hukwenda kucomment kwenye thread za single mother mbona ziko nyingi sana humu?

Kwa nini mnatujazia uchafu kila siku mpaka tunalidharau hili jukwaa?

Give us a break please.

Hivi Moderator wa hili jukwaa siku hizi ni nani atusafishie uchafu?

Tunashindwa kuja jukwaa hili siku hizi mmeliacha liwe jukwaa la watoto wanaosumbuliwa na balehe.
 
Hivi mwanaume mwenye watoto ana uhalali wa kuoa mwanamke asiye na mtoto/watoto?
Ndiyo. Mwanaume mwenye watoto ana uhalali mkubwa (100%} kuoa mwanamke asiyekuwa na watoto kwasabb mwanaume ndiye mtafuta riziki, msomeshaji na anahangaikia afya ya familia.

Sasa just imagine mke ana watoto 3 wa mwanaume mwingine halafu mme hana hata mmoja. Atafute msosi, asomeshe na awatibie watoto wa mwingine. Inakuwa ngumu Sana hii.
 
Kwa nini hukwenda kucomment kwenye thread za single mother mbona ziko nyingi sana humu?

Kwa nini mnatujazia uchafu kila siku mpaka tunalidharau hili jukwaa?

Give us a break please.

Hivi Moderator wa hili jukwaa siku hizi ni nani atusafishie uchafu?

Tunashindwa kuja jukwaa hili siku hizi mmeliacha liwe jukwaa la watoto wanaosumbuliwa na balehe.
Povu hili vipi.... Bundle lake, muda kapoteza yeye, Ukiona uzi haukufai au si hadhi yako pita kimyakimya.... Usimdhalau mtu au kukujekeli au kumkebei
Kila mtu hapa ana uhuru wake.... Ww pia hiyo comment ungetaka iwe uzi ingekua kwa sabb una uhuru wako
 
Swali zuri.

Ajabu sasa hata masingo faza hawataki kuoa singo maza. Maajabu ya karne dadeki!

Kuna member hapo juu amenijibu kuwa ni sahihi kwakuwa mwanaume ndiye mtafutaji, amesahau kuwa huko anakoenda kutafuta anawazagamua wasichana bila hata kutumia kinga,matokeo yake anaongeza singo maza wengine.
Laiti kama wanaume tungetulia, tukaacha tamaa ya kuchungulia tuliko toka bila kipimo, hao masingo maza wangekuwa ni wale wajane tu.

Singo faza aoe singo maza,vijana wa kudeka wafuate visichana vyenzao vichunaji ili wapate raha kamili
 
Umesahau kuwa Kuna wanaoolewa kama fasheni tu ili na yeye waseme aliolewa.
Baada ya mwaka anavunja ndoa na kuondoka na mtoto.! Huyu ni mjane?
 
Nyie single father na nyie ni wakati wa kujitokeza sasa muwatetee single mother wenzenu
 
Back
Top Bottom