Ni hela kiasi gani imetumika kubadili furniture za magogoni na hela hiyo ingenunua madawati mangapi?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,691
149,912
Nikiangalia taarifa ya habari naona mabadiliko ambapo furniture za pale magogoni ni kama zimebadilishwa.

Sasa kama kweli zimebadilishwa,ni fedha kiasi gani imetumika?Je,kwa kuokoa fedha hii kama inavyofanyikwa kwingineko, tungeweza kununua madawati mangapi?

Kama ni utaratibu,mbona huu umeachwa?

Au alifanyiwa suprise?
 
na kama hazijabadilishwa je?????

Kwani kwani kuna ofisi maalumu imetajwa hapa?

Hebu nawe angalia picha za pale magogoni uone kama hakuna tofauti.Hata kile kiti cha "kikubwa" nacho ni kama kimebadilishwa
 
Ukiangalia NI KAMA Zimebadilishwa! Kumbe Hata Hujui Kama Uko Sahihi Ama La, Acha Umbea We BAWACHA
 
Ungenunua madawati mangapi kwa fedha alizonunulia furniture hizo? Mtu mwenyewe alivyo bahili hivo usikute ata milion hajatumia apo
 
Wakati mwingine Kama hamna vya kupost ni busara kukaa Kimya, kuliko kueneza unafiki usio na tija, we ulitaka magogoni pawe Kama kijijini kwako, ama geto kwako, inamaana hujui heshima ya ikulu na vile inavyo paswa kuonekana? Mtoa mada tafuta mambo ya msingi, kama huna endelea tu kusoma mada za wenzako
 
ni kiasi gani viongozi wa ukawa walitumia kushi hotelini kwa zaidi ya siku nane kusubiri mazishi ya mawazo.
 
Wakati mwingine Kama hamna vya kupost ni busara kukaa Kimya, kuliko kueneza unafiki usio na tija, we ulitaka magogoni pawe Kama kijijini kwako, ama geto kwako, inamaana hujui heshima ya ikulu na vile inavyo paswa kuonekana? Mtoa mada tafuta mambo ya msingi, kama huna endelea tu kusoma mada za wenzako
Mbongo typical!
 
Mkuu mapovu ya nini sasa? Kwani bandiko halijaeleweka? Au limeeleweka lakini limekutach?
 
Mhhhhh nita

Mhhhhhh ngoja tuone hapo bado suit ..magari ..rangi ukutani vyombo vya msosi vitanda ...tena ni wote makam wa rais na waziri mkuu ....
Walinzi wapya uniform trnsfer charges bado mawaziri hawezi tumia gari ya zamani lazima mpya vx v8 yetu macho ghaarama haziepukiki ila sie buku 7 hata ka pump ka ambulance kakiharibika itakaa mwaka mpaka atokee mfadhili hii si umbea ni nature ya muafrka tulizaliwa hivyo kumbuka vyakula vizuri walikula wazee mfano kuku ahhh baba anapewa paja then wengine mnapewa the rest
 
Kwani kwani kuna ofisi maalumu imetajwa hapa?

Hebu nawe angalia picha za pale magogoni uone kama hakuna tofauti.Hata kile kiti cha "kikubwa" nacho ni kama kimebadilishwa

Kwa taarifa yako, kila rais mpya aingiapo Magogoni kile kiti 'kikuu' hubadilishwa na kile cha zamani kupelekwa makumbusho!
 
Back
Top Bottom