Ni hatua zipi za kufuata kuwa traffic police

Pipipo

New Member
Jan 10, 2018
4
1
Habarini wakuu, Mwanangu amemaliza form four mwaka jana na kupata division three, anataka kuwa Traffic Police kama kuna anayejua nini cha kufanya kutimiza ndoto yake anihabarishe.
 
Aende jktsi chini ya miaka miwili then achaguliwe polisi then aende CCP mwaka mmoja then AHONGE kupata hicho kitengo.
KWA ANAEJUA ZAIDI YA MIMI KARIBU UKOMENT
 
Back
Top Bottom