ni hatua ipi wa ujenzi wa nyumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ni hatua ipi wa ujenzi wa nyumba

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by aspen, Jan 23, 2012.

 1. aspen

  aspen JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  wandugu ningependa tuelimishane ni hatua ipi ya ujenzi wa nyumba ni gharama zaidi msingi ,kupandisha tofali,kuezeka au finishing
   
 2. u

  usawa wa Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  aise zooote ni ovyo (gharama juu), lakini ovyo zaidi ni finishing, hii unaweza ukajikuta unaigawa fifty fifty na hizo stage za nyuma yake na inataka umakini mkubwa, maaaa ndio deco ya nyumba yenyewe. Na wauzaji wa vifaa vya finishing wanajua hili ndo maana mavifaa yao ni juu, washajua ndo umefikia hitimisho so ni kukuchuna na mabei yao....ukiangalia mfano bei za rangi, milango, madirisha, kitchen, tolilets, tiles, mabomba, grills, taa/umeme (hii ndio pasua ubongo) .....
   
 3. k

  kagosha Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  miaka mitatu tu iliyopita rafiki yangu kajenga nyumba ambayo site topography yake na ukubwa wa mchoro ni more or less sawa sawa na yangu niliyoiianzisha december mwaka jana japokuwa site location ni tofauti but humuhumu Dar.

  Maajabu yake kwenye MSINGI tu:
  Yeye alitumia kama 6.5mil everthing wakati mimi imefikia karibu 11.5mil.
  Nilijua nalianzisha kwa kurefer hiyo 6.5mil kumbe ni balaa. Jamani mtu aliyejenga nyumba miaka 3 iliyopita na anayejenga sasa hao wanajenga katika ulimwengu tofauti kabisa. ukitaka kujua makali ya inflation Tanzania anzisha ujenzi utapata habari yake.
  Kwa sasa nimekuwa mpole tu nikienda mdogo mdogo kivyangu vyangu maana overall 45mil (three years ago). alizotumia nahisi mimi nitafika around 60mil.
   
Loading...