Ni hatua gani za kufuata ili kufunguliwa matokeo yaliyofungiwa na NECTA?

prof Mose

Member
May 10, 2019
37
28
Habari wakuu!

Nina mdogo wangu alihitimu form four mwaka 2017 lakini kwa bahati mbaya kutokana na ubabaishaji wa shule aliyokuwa anasoma(shule ya private) uongozi wa shule haukulipia ada ya mtihani ya wanafunzi hali iliyopelekea matokeo yao kufungiwa.

Naomba mnisaidie procedures za kufuata ili dogo apate matokeo yake na alikuwa bright sana.
 
Nenda kawaone Necta makao makuu, Ila na nyinyi acheni ubabaishaji, hamlipi ada kwa wakati na mnataka watoto wenu wasifukuzwe Wala kuguswa, Mnawaletdown Sana walimu wanaowafundishia watoto wenu.

Toto jeuri, halielewi, walimu wanapambana linaanza kuelewa na kufaulu nyi mnagoma kulipia ada.
 
Nenda kawaone Necta makao makuu, Ila na nyinyi acheni ubabaishaji, hamlipi ada kwa wakati na mnataka watoto wenu wasifukuzwe Wala kuguswa, Mnawaletdown Sana walimu wanaowafundishia watoto wenu.
Toto jeuri, halielewi, walimu wanapambana linaanza kuelewa na kufaulu nyi mnagoma kulipia ada
Asante kwa ushauri mkuu japo hapa shida inaonesha ilikuwa kwa mmiliki wa shule na siyo kwa wazazi
 
Asante kwa ushauri mkuu japo hapa shida inaonesha ilikuwa kwa mmiliki wa shule na siyo kwa wazazi
Vipi ulifanikiwa maana hata mimi kuna mtot ana tatzo kam ndug yako...walikupa maelezo gan tafadhal nifahamishe
 
Back
Top Bottom